Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Hii nchi yetu tunatumia Kiswahili kuwasiliana na wageni wa mswahili hawakosi jambo kama tukiteta kikwetu watajua tu kwa kupelekewa taarifa.
 
Data zako hazieleweki
 
Hesabu za kikorona hizi
Sasa +13 68,715 Ndio nini?
Halafu unawashangaa wanaokosoa
Hebu soma tena kama utaelewa haya madubashwa


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Mod badala ya kufuta komenti za wavamizi wa huu uzi, wamefuta komenti yangu ya kuomba tatizo hili liwe addressed..

Komenti za wahanga ni tatizo zaidi kuliko za wavamizi..😂

This is how JF handle complaints.?

Invisible Cookie
 
umewekewa plus,jumlisha na waathirika walopita,au plus jumlisha vifo vilopita,hapo unashindwaje.
inawezekana ni kweli watu wanapanick kupitiliza hata uwezo wa kutambua mambo unaanza kutoweka
 
Aisee hawa mods wameharibu kabisa taswira ya huu uzi,nilikuwa napata taarifa zote kupitia hapa sasa sijui nini kimewapelekea kutuletea watu watukutu humu kwenye thread

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mod badala ya kufuta komenti za wavamizi wa huu uzi, wamefuta komenti yangu ya kuomba tatizo hili liwe addressed..

Komenti za wahanga ni tatizo zaidi kuliko za wavamizi..[emoji23]

This is how JF handle complaints.?

Invisible Cookie
Nahisi makusudi sana haya.
Aliyeanzisha hii threads alikuwa anatoa updates safi sana asew,sasa sijui wameokota wapi hawa viumbe[emoji34]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila ninapoitazama nchi na dunia ninaona anguko na maafa makubwa zaidi ya hiki tunachokihofia sasa.

Corona yaweza kuwa janga 2020, lakini 2021 kuna uwezekano mkubwa dunia kuingia kwenye recession ambayo haijashuhudiwa kwa miaka mingi sana.

Labda nii ni namna nature inavyojaribu kututumia ujumbe wa muhimu kuwa kuna kitu kinakuja.

Corona ituamshe tuwekeze sana katika kujenga jamii inayoweza kukabili majanga hata ya mwaka mzima.

Tuwe na tabia ya kuweka hifadhi ya vyakula na nafaka kuanzia ngazi ya familia.

Hayo ni maoni yangu binafsi. Je, wewe unaonaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…