Hivi watu wa CCM nan kawaroga? Me sina chama ila wakati korona linaanza kusambaa Msigwa alitoa hoja bungeni wajadili hili swala kama hali ya dharula, kwakua ccm wengi na msigwa ni mpinzani wakapinga na wakapitisha mapendekezo yao ya kiboya, yan tusubir kudondoka kama kuku manake ugonjwa unatembea kwene NOTI KAMA HAUNA AKILI NZURI.
HAYA HILO TULIWEKE KANDO, HEADING, unaongelea kuhusu makonda na pompeo sawa ila chini unaisifia NIGERIA KWA KUFUNGA BORDERS, ina impact gani KWA TANZANIA ILIHALI HAPA CCM WAMEFANYA USENGELEMA MPAKA UGONJWA UMEINGIA, Yan unataka kusema NIGERIA AMEMKOMESHA POMPEO KWA ALICHOSEMA KUHUSU PAULO ? CCM HAMNA AKILI KABISA YAN DAAH,
Ila sasa mmeruhusu ugonjwa ambao iwe tajiri au maskini ukikupata umekupata kudadeki hakunaa njia rahis kukwepa
Sent from my iPhone using JamiiForums