Chumchang Changchum
JF-Expert Member
- Nov 1, 2013
- 5,988
- 6,226
Balaa lao linatuponza sote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana wakenya huwa wanatucheka sana watanzania,ngoja tuibadili hii list kuwa katika mfumo wa kiswahili,nimegundua kingereza hapa ndio tatizo kubwa.
Asante mkuu kumbe computer yangu ilikuwa imehifadhi cache za tokea juz. So nimerefresh website inayotoa takwimu hizi na nimeona mabadiliko na nimejaribu ku update.Mkuu hebu update uzi wako. Ume post 1 min ago wakati tangazo la Ummy Mwalimu limetoka muda sana kutangaza kesi mpya TZ
[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16]ingekuwa positive wangetuambia??
AseeeKwa maelezo ya waziri ukichanganua huyu mama ashaambukiza watu na wa kwanza aliposhuka akachukua usafiri gani? Hao alosafiri nao wameshuka wangapi? Vipi gari iliyomtoa hospital je pesa alizoshika kuwalipa hotelini je? Je funguo je alokuwa anafanya usafi chumbani kwake hotelini je? Je hao watu waliomzunguka katika safari zqke za ndani hadi anaumwa wana hali gani wamekutana na watu wa hali ipi hiki kisa kama cha corea tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wametangaza kwamba hana corona [emoji16][emoji16]Aseee
Sent using My COVID-19
Ndo maana nikasema tatizo kingereza,hiyo hesabu hamjaelewa,hadi kuna mtu mmoja katuma na link kabisa ya mahali nilipotoa hiyo hesabu na bado haujaelewa,TATIZO KINGEREZA.Acha za kuleta wewe hiyo lugha unayoisema huwa Ina hesabu tofauti? Unaulizwa swali dogo unajifanya una elimu
Jibu dogo umeshindwa unaongelea mkenya what a moron. Usiwadhalilishe wakenya hawawezi kuandika hivi. Tenga vifo na waathirika sio unaandika kama mtoto wa la pili.
Sent from my iPhone using Tapatalk
Eti ni kweli Mzungu alipewa akili akanyimwa kinga ya Mwili na Mwafrika alipewa Kinga ya Mwili akanyimwa Akili...Italia
Nchini Italia vimetokea vifo 168 ndani ya Masaa 24 na kupelekea idadi ya vifo vya Corona kufikia 631
Huku maambukizi yakivuka watu 10000
Sent using Jamii Forums mobile app