Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

COVID-19 Fatality Rate by AGE:

AGE​
DEATH RATE
confirmed cases
DEATH RATE
all cases
80+ years old
21.9%
14.8%
70-79 years old
8.0%
60-69 years old
3.6%
50-59 years old
1.3%
40-49 years old
0.4%
30-39 years old
0.2%
20-29 years old
0.2%
10-19 years old
0.2%
0-9 years old
no fatalities
 
Mkuu kwa nini Umeichagua Iran wakati kuna nchi zina idani kubwa zaidi za maambukizi na vifo kuizidi? Hadi sasa tarehe 21 March saa 12:48 Asbh, Iran inasoma walioambukizwa ni 19, 644 na Vifo ni 1, 433 ikiwa ni nchi ya 5 kwa maambukizi na vifo nyuma ya China, Italy, Spain na German. Duniani, nchi yenye kasi kubwa ya amaamukizi na Idadi kubwa Ya waliokufa ni ITALY ambayo hadi sasa waliokufa ni watu 4, 032 ikiwa imeizidi hata China ambapo ugonjwa ulianza yenyewe ikiwa na vifo 3, 261. Walioambukizwa Italy ni watu 47, 021 yaani vifo ni 9% ya walioambukizwa. Kwa takwimu hizi, Italy inayoongoza kwa vifo vya Korona duniani inaizidi hiyo Iran x 4 zaidi. Swali langu, Kama hoja ni kuangalia rate ya watu kufa per hour kwa nini uchukue nchi iliyo nafasi ya 5 badala ile inayoongoza kwa idadi kubwa ya vifo? Una agenda tofauti?
Kuna mambo mengine ndugu usipende kuona kwa macho ni vizur tuu ukapa tahadhari. Navyo kuona kama vile unapenda kwenda Irani mwenyewe kwenda kushuhudia. Shauri yako. Curiosity killed the Cat.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Imezoeleka kwa nchi changa na zinazoendelea kufanya kama wanavyofanya mataifa makubwa.Katika janga hili la Corona waziri mkuu wa Pakistan hapo majuzi alisema nchi yake haiwezi kufungia miji kama wafanyavyo nchi za Ulaya kwani nchi hiyo ni maskini sana na pindi wakifanya juhudi za sampuli hiyo kuwakinga watu kufa kwa Corona basi watu wao badala yake watakufa kwa njaa.Hii ni kwa vile raia wa nchi hiyo tangu hapo ni maskini na kufanya hivyo kutauwa uchumi kwa kiasi kikubwa .Kwa upande wake raisi wa Uturuki amesema kwa hali yoyote ile basi yeye hawezi kuamrisha kufungwa kwa misikiti kwani hizo ni nyumba za ibada kumuomba Mungu ili aondoe maradhi hayo.
 
Miongozo ya kufuatwa, Viongozi wa mfano. Pongezi ziwafikie.

Sahihi kabisa

Na tz ifikirie upya kuhusu hizi shule, wenye taasisi binafsi Tena mwanzo wa mwaka km hivi watakufa vibudu

MWEZI n mwingi, wafatilie upya at least two weeks itoshe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini lazima kuna hatua walizochukua kama tahadhari ambazo hata sisi tunaweza kuchukua.

Mbona hujazitaja? au hazijaandikwa?
 
Nchi kama Singapore na zingine wamesambaza Mask nchi nzima kila mtu avae na wamefanikiwa mpaka sasa, lakin huku kwny ma Profesa wa Siasa uchwara wanakwambia vaa mask ukishapata Corona, yaan eti leo mask hazitumiki kujilinda wewe bali kulinda wengine ukishapata

Hapo kwenye matumizi ya mask (barakoa) kuna utata!

Maelezo ya hawa madaktari wetu yanasisitiza ni wagonjwa tu na wao madaktari ndio wavae.

Wakati wataalamu wa huko duniani wanahimiza uvaaji wa barakoa kwa kila mtu maana huwezi fahamu ni nani ambaye ameshaambukizwa bila vipimo.

Jukumu la kufahamu kina nani wako sahihi tumeachiwa sisi raia. Labda wanahabari watusaidie kuuliza tena kuhusu hili.
 
Kuna mambo mengine huwezi kufanya yanazidi uwezo wako... Watu wajifungie ndan at least mwezi,utawalisha wewe
Unajuwa nchi za Ulaya baadhi yao wana majaribio ya kutumia mashine kuzalisha na watu kupewa posho watumie masokoni.Na hata kama hilo halijawa wazi lakini uchumi wa nchi unaruhusu kufidia fedha zilizoathirika zaidi.Kwetu sisi ukiondoa mawaziri na wabunge na wafanyabiashara wakubwa waliobaki kila mmoja ni jasho lake ndio tonge iende mdomoni.
 
Mkakati wa Canada kupambana na Corona.kila mtu atajazwa mapesa ya matumizi na waajiri watapewa fedha za kuwalipa wafanyakazi wao.
 
Mimi kama mtanzania naomba tuwe pamoja kuiomba serekali ifunge mipaka watu kwenda nchi zilizoathirika kwa ukubwa kama basi kufunga kabisa imeshindikana. Na ukiangalia case zote za ugonjwa zimepatikana within this march. Nimeona bado watu wanasafiri sana kwenda china. Please serikali isikie kilio changu kwasababu naoana swala la COVID 19 linachukuliwa mzaa kuanzia viongozi wenyewe hadi wananchi. Nikifiria watanzania wengi ni maskini nasikia kulia na naumia, Watanzania wenzangu tuungane hata kwa kuweka harshtag kwa social media serikali itufungie mipaka. Tuache kujipa moyo huu ni ugonjwa hatari mno. Watu wenye uwezo ndo watatuua sisi masikini.

DONALD TRUMP: "We can bring back our finances verry quickly, We can't bring our people back"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom