Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Hakuna mtu aliewahi kupona moja kwa moja kwa ugonjwa wa ambao unasababishwa na virusi hili janga halijawahi waacha wazungu salama kila siku wanaumiza vichwa dawa ya kuua magonjwa yanayosababishwa na virusi.
 
Kuna vitu vingine si vya kupewa sifa kila siku. Hapa jambo la kusisitiza ni usafi tu uendelee kila mara.
Acheni kututisha na kuusifia sana ugonjwa.

Tumeshaambiwa wakusifiwa ni Mungu pekee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu, hakuna kutishana bali ni ukweli mtupu. Tuangalie hili jambo kwa level ya 4Dimension
Kuna vitu vingine si vya kupewa sifa kila siku. Hapa jambo la kusisitiza ni usafi tu uendelee kila mara.
Acheni kututisha na kuusifia sana ugonjwa.

Tumeshaambiwa wakusifiwa ni Mungu pekee.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hatari watu wanadondoka huko italy sio mchezo
Screenshot_20200322-205710_Chrome.jpg


Sent from my SM-G950U using Tapatalk
 
Wakuu habari za jumapili

Najua mko stressed na mengi pamoja na janga la Corona.

Katika kipindi ambacho kila taifa linapigana kwa ajili ya watu wake ni vizuri kujiandaa kisaikolojia kuwa uimara wako juu ya kumbana na adui ndio pona yako, Kama si hatima.

Dunia ilikua kimya kipindi mchina anapambana, wengi walianza kuwabeza na kuwakejeli, lakina walipoona adui kabisha hodi kwao Sasa wanaamini kumbe jamaa alikua anaumui, na kweli anapaswa kuitwa shujaa.

Nimemsikiliza Leo jemedari mmoja , kauli zake, body posture, na emotional flow alizozionyesha ni wazi kuwa jemedari amekiri hana uwezo wa kumlinda awaye yote ,ni kama amekiri adui ni mkubwa kuliko chochote tunachoweza kukifanya kulingana na hali yetu.

Tungoje tu hatima ihamue. Hiyo ndo historia ya dunia. Majanga huja , uwachagua wengine na wengine uondoshwa na badae nature uchukua hatua yake.


Let's wait for the course of nature.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maandishi yako yamekosa tumaini kabisa ndani yake! Ni mbaya sana!
Ni kama unakiri kwa niaba yetu “we are defeated already”
 
Katika maandishi yako nimependa hiyo ya kuhamua! Hicho ni Kiswahili mkuu?
 
Mi nimemkubali sana bw.pombe watu tupige kazi kama kawaida,hakuna kuogopa ogopa,nawa mikono, piga kazi..binafsi naona ebola ni mbaya zaidi ya corona!
 
Back
Top Bottom