Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Bora watuzuie kwenda huko kwao nasi tujifunze kujitegemea.. Afrika tumeshapitia mengi magumu hatuna sababu ya kuogopa ogopa...
 
ndio maana sioni updates kumbe kuna wajuaji wali edit uzi?
 
Hoja yangu haijaeleweka. Si tishio kiafya kwetu bali miezi michache ijayo inaweza kuwa tishio kisiasa na hasa kiuchumi na kijamii.

Hawa jamaa watasema waafrika bado wana corona hivyo wakija ulaya wataambukiza tena hivyo movement yetu itakuwa very restricted to within Africa.

Tutakuwa automatically quarrantined hadi hapo watakapogundua chanjo, na tumeambiwa ni hadi mwaka upite ndio chanjo inaweza patikana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila mods mna dhambi nyie mnaunganisha nyuzi atupati updates za corona...

am better here
 
Nimeona taarifa ya WHO(shirika la afya duniani) pamoja na vyombo vya habari ikiwemo CNN na BBC wakitilia shaka kama Afrika Corona inapimwa kiusahihi, sasa najiuliza.

Leongo lao ni kuona waafrika wengi waambiwe wana Corona? Kwanini wasitosheke kua nchi nyingi za kiafrika watu wanafanya shughuli zao kama kawaida? Na hakuna vifo wala walio mahututi?
 
Huu ugonjwa unakuwa spoken of sana kwa sababu ni wazungu ndio wapo heavily atfected,
ni kweli si tishio, pamoja na kuua zaidi ya wataliano 600 kila siku

Sent using Jamii Forums mobile app
Malaria inaua watu 3 million approximately kula mwaka, kwa siku Afrika wanakufa watoto karibia 3000 kwa Malaria, kwa mwaka watu Million 15 duniani wanakuwa heavily ill kutokana na malaria,

haya utasema labda kwa sababu sio wa kuambukizana, basi ebola imeua watu 11,300 kwenye nchi tatu, gambia, guinea na Liberia ila huoni hizi zikitrend, ndio corona ni ugonjwa lakini sio kama inavyokua overrated, mwenyewe nilipata corona nikapona in 3 days nikawa poa kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwako Pascal Mayalla tafadhali!
Screenshot_20200323-162703_Twitter.jpg
 
Mtangazaji maarufu na producer kijana mkazi na raia wa Zimbambwe amefariki leo kwa Corona. Alikuwa America mwezi wa pili na alirudi Zimbambwe kupitia South Africa na Shirika la ndege la Africa ya Kusini. Kifo chake kimeshitua wengi si Zimbambwe tu isipokuwa hata South Afrika ambapo hadi leo wagojwa wa Corona wako zaidi ya 402.

Binafsi nampongeza sana Mseveni na pia nampongeza raisi Magufuli kwa kuweka utaratibu wa wageni wote kukaa siku 14 za uangalizi kabla ya kujichanganya.

Wale mnaochukulia poa huu ugojwa jaribuni kufuatilia Italy na mshituko ulioko Zimbambwe na SA.
Mungu ibariki Afrika na watu wake.
Screenshot_20200323-165301_1584971606665.jpeg
Screenshot_20200323-150704_1584965458301.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom