kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
AGE | DEATH RATE confirmed cases | DEATH RATE all cases |
80+ years old | 21.9% | 14.8% |
70-79 years old | | 8.0% |
60-69 years old | | 3.6% |
50-59 years old | | 1.3% |
40-49 years old | | 0.4% |
30-39 years old | | 0.2% |
20-29 years old | | 0.2% |
10-19 years old | | 0.2% |
| 0-9 years old | | no fatalities |
Kuna mambo mengine ndugu usipende kuona kwa macho ni vizur tuu ukapa tahadhari. Navyo kuona kama vile unapenda kwenda Irani mwenyewe kwenda kushuhudia. Shauri yako. Curiosity killed the Cat.
Sent using Jamii Forums mobile app
Miongozo ya kufuatwa, Viongozi wa mfano. Pongezi ziwafikie.
Imezoeleka kwa nchi changa na zinazoendelea kufanya kama wanavyofanya mataifa makubwa.Katika janga hili la Corona waziri mkuu wa Pakistan hapo majuzi alisema nchi yake haiwezi kufungia miji kama wafanyavyo nchi za Ulaya kwani nchi hiyo ni maskini sana na pindi wakifanya juhudi za sampuli hiyo kuwakinga watu kufa kwa Corona basi watu wao badala yake watakufa kwa njaa.Hii ni kwa vile raia wa nchi hiyo tangu hapo ni maskini na kufanya hivyo kutauwa uchumi kwa kiasi kikubwa .Kwa upande wake raisi wa Uturuki amesema kwa hali yoyote ile basi yeye hawezi kuamrisha kufungwa kwa misikiti kwani hizo ni nyumba za ibada kumuomba Mungu ili aondoe maradhi hayo.
Kweli mkuu. Trump na Tanzania ni kama sisimizi na temboKuna mambo mengine huwezi kufanya yanazidi uwezo wako... Watu wajifungie ndan at least mwezi,utawalisha wewe
Lakini lazima kuna hatua walizochukua kama tahadhari ambazo hata sisi tunaweza kuchukua.
Mbona hujazitaja? au hazijaandikwa?
Sahihi kabisa
Na tz ifikirie upya kuhusu hizi shule, wenye taasisi binafsi Tena mwanzo wa mwaka km hivi watakufa vibudu
MWEZI n mwingi, wafatilie upya at least two weeks itoshe
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwenye matumizi ya mask (barakoa) kuna utata!Nchi kama Singapore na zingine wamesambaza Mask nchi nzima kila mtu avae na wamefanikiwa mpaka sasa, lakin huku kwny ma Profesa wa Siasa uchwara wanakwambia vaa mask ukishapata Corona, yaan eti leo mask hazitumiki kujilinda wewe bali kulinda wengine ukishapata
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajuwa nchi za Ulaya baadhi yao wana majaribio ya kutumia mashine kuzalisha na watu kupewa posho watumie masokoni.Na hata kama hilo halijawa wazi lakini uchumi wa nchi unaruhusu kufidia fedha zilizoathirika zaidi.Kwetu sisi ukiondoa mawaziri na wabunge na wafanyabiashara wakubwa waliobaki kila mmoja ni jasho lake ndio tonge iende mdomoni.Kuna mambo mengine huwezi kufanya yanazidi uwezo wako... Watu wajifungie ndan at least mwezi,utawalisha wewe
Na hawarudishi walikoitoaMods, kwanini mumeharibu huu uzi?
Mna lengo gani?
Mods, kwanini mumeharibu huu uzi?
Mna lengo gani?