Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,391
- 21,045
haiwezekanika kwahailivyofika mpaka hapa tunawezapambana kabisa lakini huu ugonjwa hauwezi kuisha virusi havifi kwenye mwili wa binadamu bali vinalala tu.Tatizo wanaweza kuitumia corona kama fimbo ya kiuchumi kwa Afrika
Sent using Jamii Forums mobile app
ni kweli si tishio, pamoja na kuua zaidi ya wataliano 600 kila sikuCorona imekuwa overrated. Kama watu wanaugua na kupona huu ugonjwa sio tishio kabisa. Watu tuendelee na shuguli zetu kama kawaida. Huu ugonjwa utakuja kuwa kama malaria tu, hauna issue yoyote ya kufanya watu wapanic.
Walichofanya ni kutoa 'vi update' wenyewe kwenye post namba moja. 'Vi update' wanavyotoa hagusi hali ilivyo kwa mawanda yake.Ila mods mna dhambi nyie mnaunganisha nyuzi atupati updates za corona...
am better here
Malaria inaua watu 3 million approximately kula mwaka, kwa siku Afrika wanakufa watoto karibia 3000 kwa Malaria, kwa mwaka watu Million 15 duniani wanakuwa heavily ill kutokana na malaria,ni kweli si tishio, pamoja na kuua zaidi ya wataliano 600 kila siku
Sent using Jamii Forums mobile app
| Yusuf | Makamba | Pole |