Tuttyfruity
JF-Expert Member
- Dec 3, 2017
- 2,414
- 6,371
Waandishi wa kenya sio waoga kama wa hapa kwetuaisee hii ni aibu ya karne.
Mnasema wagonjwa wapya waliokufa hao waafrika kusini ni wangapi!!?....Italy wenzenu wanaleta takwimu ya malori ya jeshi yanayobeba mizoga ya marehemu, hivi nyie watu ingekuwa mwafrika anakufa hovyo na korona si tungekuwa tumeisha mna huduma gani za afya nyinyi....wanaokufa waliokuwa na maradhi yao mengine mwilini...
Kama haipimwi sawa,vifo si ndo vingetoa majibu? Au wana lao wanalokusudia?Nimeona taarifa ya WHO(shirika la afya duniani) pamoja na vyombo vya habari ikiwemo CNN na BBC wakitilia shaka kama Afrika Corona inapimwa kiusahihi, sasa najiuliza,
Leongo lao ni kuona waafrika wengi waambiwe wana Corona? Kwanini wasitosheke kua nchi nyingi za kiafrika watu wanafanya shughuli zao kama kawaida? Na hakuna vifo wala walio mahututi?
Mkuu watu tunaongea tuna facts na data Kamili... Angalia hii lists ya update wik moja iliyopita worldwide. Ko siyo kwamba naongea kwa hisia tu km unavyoongea wewe.Bro andika thesis au share na sisi any Scientific journal ikielezea vizuri strains ya Covid-19 na jinsi ambavyo haiwezi kuwaaffect people of african decent.
Otherwise hayo yote ulioandika ni umbea tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nataka Scientific journal zinazo onyesha uhusiano kati ya korona na genes za mtu mweusi. Achana na hizo statisticsMkuu watu tunaongea tuna facts na data Kamili... Angalia hii lists ya update wik moja iliyopita worldwide. Ko siyo kwamba naongea kwa hisia tu km unavyoongea wewe.
See this[emoji116]View attachment 1397271
Mtupatie list mpya sababu hadi sasa italia inaongozaMkuu watu tunaongea tuna facts na data Kamili... Angalia hii lists ya update wik moja iliyopita worldwide. Ko siyo kwamba naongea kwa hisia tu km unavyoongea wewe.
See this[emoji116]View attachment 1397271
Kama haipimwi sawa,vifo si ndo vingetoa majibu? Au wana lao wanalokusudia?
Daaah mkuu mbona wewe Ni mbishi hivo au unatoka mkoa wa zitto kabwe.Mimi nataka Scientific journal zinazo onyesha uhusiano kati ya korona na genes za mtu mweusi. Achana na hizo statistics
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mbona kama unakimbizwa, tarehe zimekosewa, nukta pasipostahili nukta, hiyo alama ya namba (#) siijui hata ya nini hapo?!!!!!!Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa ametangaza kuifunga nchi hiyo (national lockdown) kwa siku 21 kuanzia Machi 26 mwaka huu. Hadi Machi 23 visa vya #Corona vilivyoripotiwa nchini humo ni 402, ambapo viliongezeka kutoka 274 vilivyokuwa vimeripotiwa hadi Machi 22.
Anasumbiliwa na tumbo!Mkuu mbona kama unakimbizwa, tarehe zimekosewa, nukta pasipostahili nukta, hiyo alama ya namba (#) siijui hata ya nini hapo?!!!!!!
Nini shida mkuu wetu???
Dah, japo si mtaalamu wa lugha ya Kiswahili, lakini umezingua.Hii hesabu inahitaji maprofesa wa math, siku 21 kuanzia mach 26 hadi machi 23?
Sent using Jamii Forums mobile app