Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Mr Tyang, Bro andika thesis au share na sisi any Scientific journal ikielezea vizuri strains ya Covid-19 na jinsi ambavyo haiwezi kuwaaffect people of african decent.

Otherwise hayo yote ulioandika ni umbea tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
aisee hii ni aibu ya karne.
Waandishi wa kenya sio waoga kama wa hapa kwetu
InShot_20200323_173130222.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnasema wagonjwa wapya waliokufa hao waafrika kusini ni wangapi!!?....Italy wenzenu wanaleta takwimu ya malori ya jeshi yanayobeba mizoga ya marehemu, hivi nyie watu ingekuwa mwafrika anakufa hovyo na korona si tungekuwa tumeisha mna huduma gani za afya nyinyi....wanaokufa waliokuwa na maradhi yao mengine mwilini...

Chapeni kazi kwa nguvu achaneni na propaganda za CNN Fox news BBC na Voa zao,,,,,wanaupa promo Sana kwakuwa unawafyeka wao Kama kuku wa kideli....
Mwafrika kufa na mafua ni aibu....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeona taarifa ya WHO(shirika la afya duniani) pamoja na vyombo vya habari ikiwemo CNN na BBC wakitilia shaka kama Afrika Corona inapimwa kiusahihi, sasa najiuliza,
Leongo lao ni kuona waafrika wengi waambiwe wana Corona? Kwanini wasitosheke kua nchi nyingi za kiafrika watu wanafanya shughuli zao kama kawaida? Na hakuna vifo wala walio mahututi?
Kama haipimwi sawa,vifo si ndo vingetoa majibu? Au wana lao wanalokusudia?
 
Bro andika thesis au share na sisi any Scientific journal ikielezea vizuri strains ya Covid-19 na jinsi ambavyo haiwezi kuwaaffect people of african decent.

Otherwise hayo yote ulioandika ni umbea tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu watu tunaongea tuna facts na data Kamili... Angalia hii lists ya update wik moja iliyopita worldwide. Ko siyo kwamba naongea kwa hisia tu km unavyoongea wewe.
See this[emoji116]
1584458925397.jpeg
 
Habarini ndugu zangu,

napenda na Mimi Leo niulize japo swali kuhusu kinachoendelea dunia nzima juu ya kirusi hiki hatari ya corona,hivi wale wazee wetu ambayo hata wao walijaliwa Kutoa tiba asili za kiafrica waliisha wote maana sijasikia wakitamka neno kuhusu hili janga,au hawana pakusemea?inawezekana dunia ikaendelea kuangamia wakati mizizi yapo ya kutosha na kubaki ya kutibu gonjwa hili hatari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nataka Scientific journal zinazo onyesha uhusiano kati ya korona na genes za mtu mweusi. Achana na hizo statistics

Sent using Jamii Forums mobile app
Daaah mkuu mbona wewe Ni mbishi hivo au unatoka mkoa wa zitto kabwe.

If Covid19 could affect whites and Africans'genes in the same rate could the death rate differ in that rate?

Mambo Mengine hayahitaji hata scientific journals kuyaelewa Bali matokeo unayoyaona kwa macho yako mwenyewe ndo yanaweza kuwa majibu sahihi..

Note; Covid19 Ni virusi vipya kwahiyo hata wataalamu hawajakamilisha tafiti sahihi kuhusu hii corona, they are still working on it. Siku wakishamaliza ndo utaelewa zaidi uhusiano uliopo Kati ya Covid19, ngozi nyeupe na ngozi nyeusi.
 
Ila kwasasa naomba tu ujitahidi kuelewa kwa kile unachokiona.
Huku ukisubiri hiyo scientific journal yako.
 
Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa ametangaza kuifunga nchi hiyo (national lockdown) kwa siku 21 kuanzia Machi 26 mwaka huu. Hadi Machi 23 visa vya #Corona vilivyoripotiwa nchini humo ni 402, ambapo viliongezeka kutoka 274 vilivyokuwa vimeripotiwa hadi Machi 22.
 
Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa ametangaza kuifunga nchi hiyo (national lockdown) kwa siku 21 kuanzia Machi 26 mwaka huu. Hadi Machi 23 visa vya #Corona vilivyoripotiwa nchini humo ni 402, ambapo viliongezeka kutoka 274 vilivyokuwa vimeripotiwa hadi Machi 22.
Mkuu mbona kama unakimbizwa, tarehe zimekosewa, nukta pasipostahili nukta, hiyo alama ya namba (#) siijui hata ya nini hapo?!!!!!!

Nini shida mkuu wetu???
 
Hii hesabu inahitaji maprofesa wa math, siku 21 kuanzia mach 26 hadi machi 23?

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah, japo si mtaalamu wa lugha ya Kiswahili, lakini umezingua.

Nilivyoelewa
Lockdown ni ya siku 21, na itaanza tarehe 26 Machi.

Hadi inafika tarehe 23, kulikuwa kumeripotiwa visa 402 vya ugonjwa wa Corona.
 
Back
Top Bottom