Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Mkuu umenena, Corona ishindwe na ilegee.Africa Kusini ni Africa Kusini na Tanzania ni Tanzania, hizi ni nchi mbili tofauti, zenye mazingira tofauti, sisi ni nchi ya Tropical tuna equatorial climate ambayo ni joto, virus wa Corona wakiingia tuu hewani, kabla hawajazaliana kwa mutation wanakufa kwa joto, ndio maana haisambai.
P
Amen
Kajawa na hamu ya kumkosoa rais mpaka andiko lake linapungukiwa vitu vya msingi.Mkuu mbona kama unakimbizwa, tarehe zimekosewa, nukta pasipostahili nukta, hiyo alama ya namba (#) siijui hata ya nini hapo?!!!!!!
Nini shida mkuu wetu???
Anataman ndoa na jemedariKajawa na hamu ya kumkosoa rais mpaka andiko lake linapungukiwa vitu vya msingi.
Mbona post yake inaeleweka tu mkuu? Au kosa lake ni kuweka hadi Machi 22?Hii hesabu inahitaji maprofesa wa math, siku 21 kuanzia mach 26 hadi machi 23?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kakosea wapi? Basi soma kulingana na nukta na comma alizoweka!Mkuu mbona kama unakimbizwa, tarehe zimekosewa, nukta pasipostahili nukta, hiyo alama ya namba (#) siijui hata ya nini hapo?!!!!!!
Nini shida mkuu wetu???
Nami nimeelewa vivyo hivyo mkuu,Tatizo ni pale tunasoma vile tulivyotazamia kuandikwa,siyo kilichoandikwa!Dah, japo si mtaalamu wa lugha ya Kiswahili, lakini umezingua.
Nilivyoelewa
Lockdown ni ya siku 21, na itaanza tarehe 26 Machi.
Hadi inafika tarehe 23, kulikuwa kumeripotiwa visa 402 vya ugonjwa wa Corona.
Siwezi nikaelewa kirahisi hivyo. Yani Science haiendeshwi kwa "fikra" au "maono" inaenda kwa facts. Lete facts. Huna tulia usijifanye mjuajiIla kwasasa naomba tu ujitahidi kuelewa kwa kile unachokiona.
Huku ukisubiri hiyo scientific journal yako.