Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Africa Kusini ni Africa Kusini na Tanzania ni Tanzania, hizi ni nchi mbili tofauti, zenye mazingira tofauti, sisi ni nchi ya Tropical tuna equatorial climate ambayo ni joto, virus wa Corona wakiingia tuu hewani, kabla hawajazaliana kwa mutation wanakufa kwa joto, ndio maana haisambai.

Tuendelee kufuata ushauri wa wataalamu wetu, na kusimama na rais wetu Magufuli, tusitishane, Watanzania tuendelee kupiga kazi.
Hapa Kazi Tuu!

P
 
Africa Kusini ni Africa Kusini na Tanzania ni Tanzania, hizi ni nchi mbili tofauti, zenye mazingira tofauti, sisi ni nchi ya Tropical tuna equatorial climate ambayo ni joto, virus wa Corona wakiingia tuu hewani, kabla hawajazaliana kwa mutation wanakufa kwa joto, ndio maana haisambai.

P
Mkuu umenena, Corona ishindwe na ilegee.

E

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Viongozi wa srikali ya CCM na akili zao wanfikiri huu huu ugonjwa unauwa maskini na wapinzani tu. Hayo mawazo yao Munzgu atawajibia soon.

Natamani corona iwanyakue viongozi wa juu kwanza kabla ya kuja kwetu maskini. Ili viongozi watakao Baki wajifunze kwa matukio . Anayejiona yupo salama na aangalie asije anguka
 
Imetikisa Asia...
Ikahamia Ulaya...
Ikasogea Amerika... (huku bado haijafanya damage kubwa)
Kuna kila dalili huu mzigo unaanza kuhamishia kambi Afrika (tazama takwimu ya visa vya Corona SA, Misri na Algeria)
 
Kila mtu ajiongeze mwenyewe,Sio kila kitu unatupia lawama serikali..we kama unaona utadhurika jifungie,kama unaona unataka chapa kazi Fanya kazi kwa bidii..

Oooh tujifunze SA.
Oooh sijui serikali nini...
Jiongeze mwenyewe,Acha kua Chizi
 
Dah, japo si mtaalamu wa lugha ya Kiswahili, lakini umezingua.

Nilivyoelewa
Lockdown ni ya siku 21, na itaanza tarehe 26 Machi.

Hadi inafika tarehe 23, kulikuwa kumeripotiwa visa 402 vya ugonjwa wa Corona.
Nami nimeelewa vivyo hivyo mkuu,Tatizo ni pale tunasoma vile tulivyotazamia kuandikwa,siyo kilichoandikwa!
 
Leo dunia nzima tunatakiwa kufanya maamuzi tubaki ndani tupone Covid-19 huku tukijiua poolepole kwa njaa au tutoke nje kutafuta riziki huku tukihatarisha maisha yetu kwa Covid-19. Tuko njia panda (dilemma)
A dilemma is not a tough choice; a dilemma is a choice between two bad options.
 
Pascal Mayalla, Hahhahaha. Jaman jaman huu ujinga ndo mnajazana mkikaa kwenye vijiwe vya kahawa? Virus ana mutate akiwa hewani? Embu acheni ujinga. Mtu umeishia la saba B unataka na wewe ujifanye wanasayansi. Usiseme tena haya maneno mbele ya watu. Utachekwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Back
Top Bottom