Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Africa Kusini ni Africa Kusini na Tanzania ni Tanzania, hizi ni nchi mbili tofauti, zenye mazingira tofauti, sisi ni nchi ya Tropical tuna equatorial climate ambayo ni joto, virus wa Corona wakiingia tuu hewani, kabla hawajazaliana kwa mutation wanakufa kwa joto, ndio maana haisambai.
Tuendelee kufuata ushauri wa wataalamu wetu, na kusimama na rais wetu Magufuli, tusitishane, Watanzania tuendelee kupiga kazi.
Hapa Kazi Tuu!
P
Tuendelee kufuata ushauri wa wataalamu wetu, na kusimama na rais wetu Magufuli, tusitishane, Watanzania tuendelee kupiga kazi.
Hapa Kazi Tuu!
P