Corona inatisha ndio lakini hadi sasa idadi ya walioambukizwa dunia nzima ndio inafikia idadi ya wakazi wote wa Zanzibar. Tuendelee kuchukua tahadhari na hakuna haja ya kupanic, tahadhari ndio muhimu.
>kaa nyumbani epuka safari zisizo za lazima
>nawa mikono kabla na baada ya kushika vitu vitumikavyo na watu wengi
>nenda hospitali uonapo dalili za corona
>epuka mikusanyiko hata ikiwa midogo
>ukiwa nyumbani fanya mambo ya kuboresha afya yako, familia yako na ongeza maarifa kwa kujisomea mambo mbalimbali