Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Corona inatisha ndio lakini hadi sasa idadi ya walioambukizwa dunia nzima ndio inafikia idadi ya wakazi wote wa Zanzibar. Tuendelee kuchukua tahadhari na hakuna haja ya kupanic, tahadhari ndio muhimu.
>kaa nyumbani epuka safari zisizo za lazima
>nawa mikono kabla na baada ya kushika vitu vitumikavyo na watu wengi
>nenda hospitali uonapo dalili za corona
>epuka mikusanyiko hata ikiwa midogo
>ukiwa nyumbani fanya mambo ya kuboresha afya yako, familia yako na ongeza maarifa kwa kujisomea mambo mbalimbali
 
Sijui ni kweli ila nimeona France Ka record vifo 1355 kwa saa 24 zilizopita. Usa na Italy wao wana 700+
 
Sijui ni kweli ila nimeona France Ka record vifo 1355 kwa saa 24 zilizopita. Usa na Italy wao wana 700+
Kwani mkuu
Screenshot_20200403-001212.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mudaa muafakaa SASA kushauriana UKWELI mnaombwaa mfwatee sana yalee mashartii ya SERKL kujilinda kuwa safii MDA wote naweni mikonotu halii n MBAYA

Siombei mabaya ni vyema tukawapa angalizoo hii corona sio ya kuisha June wala jul...hizi tar unazooona kila nchi wanafikiria kurudi normal ni mafikirio tu

Wakati muafakasasa tukijilinda tujiweke mahsusi mnapoona may NIMEINGIA usishangae June tumekomaa na MASHARRTI yaleyale to July

Watumishi WENGI WA MUNGU WANAJUA HILI TUNAOMBA MWOOMBEE SANA NCHI OMBEEN TOBA KWA AKILI YA NCHI

MMAREKANI HUU UGONJWA UMEENDA KUPIGA JIMBO MUHIMU LA KIFEDHA NA KIUCHUMI NA WANAKUFA KAMA MAWE

KILA MMOJA AOMBE SABABU N MOJA TU..HUU UGONJWA HATA UKAJIFICHE MARANGU UTAKUFWATA TU N WEWE WASASA UJILINDE UTOE UAMUZI WAKULINDA WATOTO WAKO NA WATANZANIA WENGINE

Eeeeew MUNGU TUSAIDIE
 
Back
Top Bottom