Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Kipengere muhimu kinachofanywa na nchi zingine cha kupima na kuwabaini waathiriki sioni kikifanyika hapa nchini.
 
Kwani Cameroon ni Tanzania? Amini takwimu zinazotolewa na Nchi yako!
 
Una Ndugu yako anaumwa Corona ama amekufa kwa Corona.?
Wait a minute! Unajali maisha ya ndugu yako peke yake?🤦🏾‍♂️ Watanzania wenzako vipi? Hili ni janga la dunia mkuu wanaokufa ni binadamu pia hata kama siyo ndugu zako. Tuachane ubinafsi ule uliopitiliza wa mwafrika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…