Antennah
JF-Expert Member
- Oct 14, 2015
- 6,754
- 8,750
Na ndo tatizo kubwa ndani ya nchi yetu.....Kuogopa kuhufahamu ukweli na kutokua na tabia ya kuongea ukweli....
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, jitolee wee. Fanya! Sio kuiga kila kitu.View attachment 1409390Kipengere muhimu kinachofanywa na nchi zingine cha kupima na kuwabaini waathiriki sioni kikifanyika hapa nchini.View attachment 1409392
Kwani alisemaje?Kwa matamshi ya Bashite ya jana,msitarajie kuelezwa ukweli juu ya idadi ya wanaogundulika kuugua corona.
Weka ya Ummy Mwalimu mkuu Leo Tanzania tumepima sample za kutosha
Kwenu au ufipa kuna wagonjwa wangapi? Tuanzie hapo.Kwa matamshi ya Bashite ya jana,msitarajie kuelezwa ukweli juu ya idadi ya wanaogundulika kuugua corona.
Ambazo sampuli na vipimo vinafanyikia lumumbaKwani Cameroon ni Tanzania? Amini takwimu zinazotolewa na Nchi yako!
Wait a minute! Unajali maisha ya ndugu yako peke yake?🤦🏾♂️ Watanzania wenzako vipi? Hili ni janga la dunia mkuu wanaokufa ni binadamu pia hata kama siyo ndugu zako. Tuachane ubinafsi ule uliopitiliza wa mwafrika.Una Ndugu yako anaumwa Corona ama amekufa kwa Corona.?
Mambo ya serikali inakuwaje umwambie mtu wa kawaida ayafanye!?Mkuu, jitolee wee. Fanya! Sio kuiga kila kitu.
Mkuu upo serious? Unataka kusemaje hapa? Kwamba serikali yetu inayoongozwa na malaika imegawa vipimo vya kupimia corona kwa kila familia au?Kwenu au ufipa kuna wagonjwa wangapi? Tuanzie hapo.
Kupima watu wote kuwabaini na kuwatenga waathirika Ni hatua muhimu sana ndugu.
in Bashite voice!Una Ndugu yako anaumwa Corona ama amekufa kwa Corona.?