Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
mods wana roho mbaya aiseeHapo awali, Meya wa Wuhan, sehemu ambapo kirusi hiki kilianzia, alisema kuwa takribani watu milioni 5 wamekwisha ondoka mjini hapo licha ya zuio la kusafiri lililowekwa.
Hivyo, kuna uwezekano mkubwa wa kuenea zaidi kwa maambukizi sehemu nyinginezo iwapo kama kulikuwepo na walioambukizwa kati ya hao walioondoka mjini hapo.
mods mlaaniwe kabisa kwa ichi kitendoWakuu Karibuni tujadili kidogo Mtazamo wa Kiyosaki kuhusu COVID-19 na kile kinachoendelea duniani mda huu nimeambatanisha picha apo chiniView attachment 1416033
Je kuna ukweli wowote au ndo mtazamo wake
pia samahani kama nimetumia heading mbaya ila sio mbaya karibuni jukwaani
πππππ Uzi umetupwa karantinimods mlaaniwe kabisa kwa ichi kitendo
Wakuu Karibuni tujadili kidogo Mtazamo wa Kiyosaki kuhusu COVID-19 na kile kinachoendelea duniani mda huu nimeambatanisha picha apo chiniView attachment 1416033
Je kuna ukweli wowote au ndo mtazamo wake
pia samahani kama nimetumia heading mbaya ila sio mbaya karibuni jukwaani