Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Corticopontine,
Yani wewe jamaa ni kenge sijawahi kuona. Yani nyie watu wa Lumumba mnaukataa ukweli wakati kila kitu kipo wazi. Ondoeni kwanza hizo akili huko makalioni ndo muanzishe mada humu jukwaani maana mnakera sana kwa huu upumbavu mnaouonyesha!
 
Pamoja na kuonyesha matumaini kwa mataifa ya magharibi kwa maana ya curve kuflatten lakini Changamoto bado ni kubwa

96% asilimia ya vifo vya Corona vinatako Marekani, Ulaya, Iran, na China asilimia 4 iliyobaki inatoka kwenye mataifa ambayo sijayataja hapo juu

Ni wakati muafaka ss wa Bara la Ulaya, Marekani na China kuanza upya kuangalia Sera zinazosupport ecosystem ili kila mdudu abakie sehemu yake

Ni muda mwafaka wa kuanzisha Beach zinazoakisi asili ya mwanadamu yaani ziwepo beach kwenye miji yenu yenye vumbi

Ninawashauri sasa Architect Engineers kuidesign upya miji na majiji Duniani imeonesha wazi kuwa rumejitenga mbali nature

Nina mpango wa kuwasilisha hoja hii kwenye BARAZA la Mazingira Duniani
 
Corticopontine,

Nimependa analysis yako though iko shallow mno, but I have grasped your points. Unaweza ukateremka kidogo mana ukishaiwakilisha huko Duniani hatutaiona tena
 
Nini Maana Yako? Ndio Kusema Yawezeka Corona Inaenea Kwa Kasi Zaidi Maeneo Yaliyoathiwa Na Uharibifu Wa Hali Ya Hewa Asilia?
 
Waathirika kuwa wengi new york sio ajabu. Kwanza ni mji una idadi kubwa ya wakazi na pia wageni wanaoingia na kutoka, ila tusisahau ushoga pale umeshamiri kuliko maelezo, makasino na makahaba ndio haswaa maskan zipo nyingi na ni kubwa kubwa. Sasa pandemic ikichapa pale zaid nani atashangaa ??
 
Wakuu Karibuni tujadili kidogo Mtazamo wa Kiyosaki kuhusu COVID-19 na kile kinachoendelea duniani mda huu nimeambatanisha picha apo chini
IMG_20200411_102801.jpg

Je kuna ukweli wowote au ndo mtazamo wake
pia samahani kama nimetumia heading mbaya ila sio mbaya karibuni jukwaani
 
Hapo awali, Meya wa Wuhan, sehemu ambapo kirusi hiki kilianzia, alisema kuwa takribani watu milioni 5 wamekwisha ondoka mjini hapo licha ya zuio la kusafiri lililowekwa.

Hivyo, kuna uwezekano mkubwa wa kuenea zaidi kwa maambukizi sehemu nyinginezo iwapo kama kulikuwepo na walioambukizwa kati ya hao walioondoka mjini hapo.
mods wana roho mbaya aisee
 
KAMA KUNA KICHAPO NAMBA MOJA KWA WAITALIANO HAKUNA KAMA HIKI. NI WAJIBU WAO KUANGALIA WAPI WAMEKOSEA ILI KUEPUSHA MAAFA MENGINE HUKO MBELENI.

KADHAALIKA NA SISI TUSIIGE MAMBO YA WAZUNGU TUTAKULA NA SISI KICHAPO
 
Covid-19 itapita baada ya wiki mbili zijazo

Hapa ni kuonyesha kuwa mwenyezi Mungu ameruhusu tujaribiwe na shetani

Nina imani ugonjwa huu utawafanya watu kuacha dhambi Duniani kama ushoga, ugaidi na uonevu

Mungu amejidhihirisha kwamba huwa yupo anatulinda tena ulinzi mkali ametuonyesha kwamba akituacha adui yetu atatuangamiza.

Tumulilieni muumba hatukujiumba tuacheni ujuaji
 
Back
Top Bottom