Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Matumaini ndio ngao zetu lakni kujilinda na ushauri toka Mamlaka husika tusi uzalau...
Kama hili liliwahi kutokea na mababu zetu waliswal na kuomba likatokomea...
 
Corticopontine,
Mwezi uliopita kuna msanii mwenzako toka Nigeria anaitwa T.B. Joshua, naye pia alitabiri kuwa corona ingekwisha mwishoni wa mwezi wa tatu lakini wapi. Wewe inabidi ukamatwe kwa kupotosha watu.
 
Mwezi uliopita kuna msanii mwenzako toka Nigeria anaitwa T.B. Joshua, naye pia alitabiri kuwa corona ingekwisha mwishoni wa mwezi wa tatu lakini wapi. Wewe inabidi ukamatwe kwa kupotosha watu.

Hahahahaa kweli mkuu hawa wasanii sasa wanapaswa kunyea debe.
 
Mbona hukutabiri huo ugonjwa kabla haujaja..?

Punguza ukenge watu wanahangaika we unarefusha limdomo lako ati dhambi dhambi!!
Kama huyo Mungu wako alikuwa anataka kuuadhibu wenye dhambi si angewauwa tu hao wenye dhambi!!

Au kwa akili yako ya matope unafikiri ule ugonjwa unabagua..?
Punguza uhayawani Bata wewe huyo Mungu wako hana la kutusaidia haijalishi uwe mwema au usiwe yeye haoni wema wala ubaya hayo unajua wewe na makaririsho uliyomezeshwa huko..
 
Povu.mkuu uko na stress?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwezi uliopita kuna msanii mwenzako toka Nigeria anaitwa T.B. Joshua, naye pia alitabiri kuwa corona ingekwisha mwishoni wa mwezi wa tatu lakini wapi. Wewe inabidi ukamatwe kwa kupotosha watu.
Utawasikia wakisema sijui ooooh! Nilimwelewa vibaya roho mtakatifu ndiyo maana haikuwa kama nilivyotabiri. Apo anatoka na movie part two.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake.Kama haujapendezwa nayo jaribu kumwelimisha kistaarabu mkuu huta pungukiwa na kitu.Asante

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mi nimemuelekeza kistaarabu hakuna tusi hapo hata moja isipokuwa nimetaja viumbe Tena ambavyo hata mweka mada huenda anaamini kuwa vimeumbwa na Mungu wake!
 
Haya ndo mawazo mazuri,wengine wanatamani watu wafe kwa maelfu ili wapate umaarufu wa kisiasa,
wanatabiri mabaya kwa tanzania yetu kuhusu covid 19.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo wote wanaougua ghafla watapona
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakubaliana na wewe 100% mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inapendeza kua na imani...

Ila washatathmini kwamba week mbili zijazo, Covid19 Africa italipuka vibaya sana...

Cc: mahondaw
 
Kweli mungu alibaki Africa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…