Trinity
JF-Expert Member
- Jul 20, 2017
- 1,828
- 3,508
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikutanii nimepata maono mwenyezi Mungu amesema niite nami nitakuitikia nitakuonyesha mambo magumu usiyoyajua
lissu anakusalimia.Sikutanii nimepata maono mwenyezi Mungu amesema niite nami nitakuitikia nitakuonyesha mambo magumu usiyoyajua
Mwezi uliopita kuna msanii mwenzako toka Nigeria anaitwa T.B. Joshua, naye pia alitabiri kuwa corona ingekwisha mwishoni wa mwezi wa tatu lakini wapi. Wewe inabidi ukamatwe kwa kupotosha watu.
Povu.mkuu uko na stress?Mbona hukutabiri huo ugonjwa kabla haujaja..?
Punguza ukenge watu wanahangaika we unarefusha limdomo lako ati dhambi dhambi!!
Kama huyo Mungu wako alikuwa anataka kuuadhibu wenye dhambi si angewauwa tu hao wenye dhambi!! Au kwa akili yako ya matope unafikiri ule ugonjwa unabagua..?
Punguza uhayawani Bata wewe huyo Mungu wako hana la kutusaidia haijalishi uwe mwema au usiwe yeye haoni wema wala ubaya hayo unajua wewe na makaririsho uliyomezeshwa huko..
Ndio stress za huyu Kobe anaetabiri upuuzi hapa
Mkuu kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake.Kama haujapendezwa nayo jaribu kumwelimisha kistaarabu mkuu huta pungukiwa na kitu.AsanteNdio stress za huyu Kobe anaetabiri upuuzi hapa
Utawasikia wakisema sijui ooooh! Nilimwelewa vibaya roho mtakatifu ndiyo maana haikuwa kama nilivyotabiri. Apo anatoka na movie part two.Mwezi uliopita kuna msanii mwenzako toka Nigeria anaitwa T.B. Joshua, naye pia alitabiri kuwa corona ingekwisha mwishoni wa mwezi wa tatu lakini wapi. Wewe inabidi ukamatwe kwa kupotosha watu.
Hata mi nimemuelekeza kistaarabu hakuna tusi hapo hata moja isipokuwa nimetaja viumbe Tena ambavyo hata mweka mada huenda anaamini kuwa vimeumbwa na Mungu wake!Mkuu kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake.Kama haujapendezwa nayo jaribu kumwelimisha kistaarabu mkuu huta pungukiwa na kitu.Asante
Sent using Jamii Forums mobile app
Covid-19 itapita baada ya wiki mbili zijazo
Hapa ni kuonyesha kuwa mwenyezi Mungu ameruhusu tujaribiwe na shetani
Nina imani ugonjwa huu utawafanya watu kuacha dhambi Duniani kama ushoga, ugaidi na uonevu
Mungu amejidhihirisha kwamba huwa yupo anatulinda tena ulinzi mkali ametuonyesha kwamba akituacha adui yetu atatuangamiza.
Tumulilieni muumba hatukujiumba tuacheni ujuaji
Nakubaliana na wewe 100% mkuuCovid-19 itapita baada ya wiki mbili zijazo
Hapa ni kuonyesha kuwa mwenyezi Mungu ameruhusu tujaribiwe na shetani
Nina imani ugonjwa huu utawafanya watu kuacha dhambi Duniani kama ushoga, ugaidi na uonevu
Mungu amejidhihirisha kwamba huwa yupo anatulinda tena ulinzi mkali ametuonyesha kwamba akituacha adui yetu atatuangamiza.
Tumulilieni muumba hatukujiumba tuacheni ujuaji
Kweli mungu alibaki AfricaCovid-19 itapita baada ya wiki mbili zijazo