Heri anaekana kuliko asiemjua kabisa kwa maana anaekana angalau anajua kuhusu Mungu kidogo ndio maana anakana baadhi ya vitu vya huyo Mungu!Mpumbavu namba moja ni mtu yoyote anayekana uwepo wa Mungu na nguvu zake
Sent using Jamii Forums mobile app
Waafrica hawajasema wazungu watazidi kuisha kwa Corona ila wazungu wanataka hadi chanjo ianzie kwetu wakati wao ndo victims wakubwa wa Corona, kwa point hiyo Corona inatoweka muda si mrefu huku ikiwaacha Wazungu wamekufa zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Utawasikia wakisema sijui ooooh! Nilimwelewa vibaya roho mtakatifu ndiyo maana haikuwa kama nilivyotabiri. Apo anatoka na movie part two.
Sent using Jamii Forums mobile app
AKILI NYWELE........Kundi la Wachungaji kutoka Kusini mwa Jimbo la California limemshtaki Gavana Gavin Newsom na baadhi ya Watendaji kwa kuzuia Waumini kwenda Kanisani kutokana na #CoronaVirus
kwa kweli huu ugonjwa unashutua watu wengi na inawashika kila mmojaChina kujenga hospitali kwa siku sita mjini Wuhan itakayoweza kulaza watu 1000. Hii itakuwa record mpya ya dunia baada ya ile kujenga hospitali ndani ya siku Saba kupambana na kirusi SAR
| Confirmed 2,173,432 | Recovered 554,786 | Deaths 146,291 |
MKUU UNAUJUA MCHANGANUO WA KUMUHUDUMIA MGONJWA MMOJA WA CORONA HADI AKAPONA? 🤔Media nyingi zinatoa idadi ya vifo na waathrika wapya tu hawasemi wangapi wamepona. Nia ni kujazana hofu.