Kama ukiwa na magojwa mengine ukaja kufa na Corona Ujerumani haihesabu kama umekufa na Corona.Hii Corona ikifanyika uchunguzi why marekani wamekufa watu wote hao kulinganisha na ujerumani na Japan na nchi zingine itatupa majibu
Aisee kumbeKama ukiwa na ugojwa mengine ukajakufa na Corona Ujerumani haihesabu kama umekufa na Corona.
Aliyeunga mkono juhudi pale kinondoni inasemekana tia maji tia maji π·Leo siku ya nne hakuna update kuhusu maambukizi, waliopona na vifo. Hatujawahi kujua wanapima wangapi kwa siku.
Ummy Mwalimu kaandimika. Majaliwa naye kimya. Jiwe yupo Chato akifanya social distancing.
Huenda baada ya maombi ya siku tatu, wanahuisha takwimu kuona impact ya maombi maana sayansi si kipaumbele Tanzania.
Mara paaap, hakuna maambukizi mapya. Tuendelee kufanya maombi. Tuongeze kiasi cha sadaka. Hili ni muhimu sana.
huenda wameamua kufuata ushauri wa Mwigulu Nchemba aliyeishauri serikali ikae kimya isitangaze chochote kuhusu Corona[emoji28]Leo siku ya nne hakuna update kuhusu maambukizi, waliopona na vifo. Hatujawahi kujua wanapima wangapi kwa siku.
Ummy Mwalimu kaandimika. Majaliwa naye kimya. Jiwe yupo Chato akifanya social distancing.
Huenda baada ya maombi ya siku tatu, wanahuisha takwimu kuona impact ya maombi maana sayansi si kipaumbele Tanzania.
Mara paaap, hakuna maambukizi mapya. Tuendelee kufanya maombi. Tuongeze kiasi cha sadaka. Hili ni muhimu sana.
Tufuatilie wote Kiongozi. Wabunge wameanza !Wakitangaza tujuze
Unamaanisha yule aliyesababisha kifo cha Akwilina kilichoiingizia sirikali mamilioni ya ndururu kwenye ile kesi pendwa?Aliyeunga mkono juhudi pale kinondoni inasemekana tia maji tia maji π·
Labda lakini huku mitaani watu wanajua nyumba ipi kafa mtu na kazikwa na serikali au sirikalihuenda wameamua kufuata ushauri wa Mwigulu Nchemba aliyeishauri serikali ikae kimya isitangaze chochote kuhusu Corona[emoji28]
Huyo huyo. Hadi wamesema,ujue hali mbaya.Unamaanisha yule aliyesababisha kifo cha Akwilina kilichoiingizia sirikali mamilioni ya ndururu kwenye ile kesi pendwa?
With a sense of humour. Ni deliberate !Una kama ka hoja flani hivi halafu unatoka tena unaingiza ushabiki..kuwa straight if not wrong spelled,usiwe kama panya unang'ata na kupuliza
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo huyo!!π·π·πUnamaanisha yule aliyesababisha kifo cha Akwilina kilichoiingizia sirikali mamilioni ya ndururu kwenye ile kesi pendwa?
Leo siku ya nne hakuna update kuhusu maambukizi, waliopona na vifo. Hatujawahi kujua wanapima wangapi kwa siku.