Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Imefahamika kuwa virusi vya Corona huenea pia kwa njia ya hewa hususani majimaji katika hewa.

Utafiti mwingine pia umeonesha kuwa virusi hivi vyaweza kukaa mahali pa wazi kwa muda wa siku tisa.

====

Coronavirus is now confirmed airborne - Aerosol transmission.

The Coronavirus is now deadlier than SARS. The death toll has risen to more than 800 in about two months.

“Aerosol transmission refers to the mixing of the virus with droplets in the air to form aerosols, which causes infection after inhalation”.

Zeng Qun, deputy head of the Shanghai Civil Affairs Bureau, said confirmed transmission routes of the novel coronavirus include direct transmission, contact transmission, and aerosol transmission. Here's an explainer:

 
Africa virus vinaambiwa No Signal
 
Nawasiwasi huenda vimefika Africa lakini hatuna uwezo kupima na kuvigundua.
Ni Pale upo Darasani alafu mwalimu wa Hesabu kaleta matokeo ya Pepa anaanza kutoa adhabu kwa walio feli apo wewe ni kilaza unajijua kabisa unashangaa adhabu wanaanza wale vipanga wa darasa wewe hufikiwi...
 
Mkuu mgonjwa alie ambukizwa hiyo corona ana asilimia ngapi za kupona.
Na je, kuna wagonjwa ambao wamepona na kuruhusiwa kurudi makwao ama wakipona wanakuwa kizuizini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UPDATE: Singapore imetangaza visa vipya vitatu (3) nchini mwake huku idadi ya walioambukizwa sita (6) wakiwa katika hali mbaya zaidi. [CNA]
 
Coronavirus Update:
  • 1 new case in UK, total: 4
  • 1 new case in Spain, total: 2
  • 1 new case in Malaysia, total: 17
  • 2 new cases in South Korea, total: 27
 
Mkuu mgonjwa alie ambukizwa hiyo corona ana asilimia ngapi za kupona.
Na je, kuna wagonjwa ambao wamepona na kuruhusiwa kurudi makwao ama wakipona wanakuwa kizuizini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka sasa hakuna tiba ya virusi hivyo iliyokwisha kugundulika.

Kinachofanywa kwa wagonjwa ni kuwatibu zile dalili zinazoambatana na virusi hivyo na si kirusi chenyewe kama nilivyoeleza hapo awali.

Ili kuzitibu hizo dalili, inategemeana na vitu vingi ikiwemo pia na hali ya kiafya ya mtu na hatua ugonjwa ulipofikia. Kuchelewa zaidi kufika hospitalini kunapunguza zaidi uwezekano wa kupata nafuu hapo baadaye.

Kuna baadhi ya watu wanaweza kupona hizo dalili haraka na kurejea katika hali zao za kawaida hususani kutokana na kinga za miili yao, pia kuna wengine kwao ni vigumu kupona haraka na wanahitaji muda mrefu zaidi wa supportive care.

Supportive care uhusika katika kuvisaidia viungo muhimu vya mwili (vital organs) kufanya kazi yake ipasavyo huku matibabu mengine ya kuzitibu hizo dalili yakiendelea.

Kuna wengine hupatiwa huduma hizo lakini hushindwa kurejea katika hali zao za kawaida hivyo kupelekea kufariki dunia.

Kwa wale ambao hupata nafuu, huruhusiwa kurudi makwao na kuzingatia masuala mbalimbali ya kiafya. Kwa wale ambao bado hawajapata nafuu hubaki hospitalini kwa matibabu zaidi.

Chanjo pamoja na tiba ya virusi hivyo bado zinafanyiwa kazi na yaweza kuchukua muda mrefu kidogo na pengine hata miaka miwili ila kwa sasa zinatumika dawa za maradhi mengineyo ili kutibu hizo dalili za Coronavirus.
 
Coronavirus Update: 2020-02-09
  • 37,593 cases
  • 28,942 suspected
  • 814 dead
  • 2,924 recovered
 
NEW: An advance team of World Health Organization (WHO) experts has left for Beijing to investigate China’s coronavirus epidemic. [Reuters]
 
UPDATE: Jopo la wataalamu kutoka shirika la afya duniani WHO limeelekea Beijing nchini China kwa ajili ya uchunguzi kuhusiana na mlipuko wa virusi vya Corona
 
Coronavirus updates from the past few hours:
  • 10 new cases in Hong Kong
  • 3 new cases in Singapore; 6 patients in critical condition
  • 4th case in the UK

More updates to come!
 
News Alert: The use of existing HIV/AIDS medication is being widely adopted in China for treating patients infected with novel coronavirus pneumonia. But a top scientist said although that might be appropriate for short-term emergency use, it's not a long-term solution. [China Daily]
 
BREAKING: Mkoa wa Hubei nchini China umeripoti visa vipya 2,618 pamoja na vifo vipya 91.
 
UPDATE: Idadi mpya ya vifo kutokana na virusi vya Corona ni 904 mpaka sasa.
 
UPDATE: CORONAVIRUS
  • 40,134 confirmed cases worldwide
  • 28,942 suspected cases
  • 904 fatalities
  • 6,305 in serious/critical condition
  • 3,005 recovered
  • Most cases in China
  • 25 countries reporting cases

More updates to come!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…