HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
China bado inaficha data. Hizi inazotoa si za kweli angalia jump toka 73 jana hadi 86 leo kuna kitu anaficha kuna uwezekano wanaokufa ni wengiDaah report inakatisha tamaa, inaonesha with time idadi ya vifo na maambukizi mapya yanaongezeka pamoja na juhudi zote zinazofanyika.
Ni kweli, kwa population yao inawezekana kinacho repotiwa ni kidogo sana.China bado inaficha data. Hizi inazotoa si za kweli angalia jump toka 73 jana hadi 86 leo kuna kitu anaficha kuna uwezekano wanaokufa ni wengi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii flue haina shida na black skin like mambo
Hio ni gonjwa ya whites
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu na wewe uko Wuhan?Wakazi wa Wuhan wanadai namba za vifo ni nyingi kuliko zinazotangazwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana ikawa ni kweli maana hakuna kisa chochote kilichotangazwa na nchi yeyote ya Africa..
Hivi inatofauti gani na Ebola mkuu? Yan kati ya Ebola na hii Corona ipi ni mbaya zaidi?Hii flue haina shida na black skin like mambo
Hio ni gonjwa ya whites
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli, kwa population yao inawezekana kinacho repotiwa ni kidogo sana.
Hivi inatofauti gani na Ebola mkuu? Yan kati ya Ebola na hii Corona ipi ni mbaya zaidi?
Sent using Jamii Forums mobile app