Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

UPDATE: Wizara ya mambo ya nje ya Japan imesema kuwa raia wake mmoja wa Kijapan, aliyeshukiwa kuwa na virusi vya Corona huko mjini Wuhan nchini China, amefariki dunia.

====

Japan's foreign ministry says a Japanese man in his 60s who was suspected of having the new coronavirus died of pneumonia on Saturday in the Chinese city Wuhan, the epicenter of the virus outbreak. [NHK World News]
 
UPDATE: Ubalozi wa Marekani nchini China umethibitisha kifo cha raia wa Kimarekani mjini Wuhan kutokana na virusi vya Corona.

Hiki ni kifo cha kwanza kabisa cha raia wa Kimarekani kutokana na virusi hivyo.

====

BEIJING, Feb 8 (Reuters) - A 60-year old U.S. citizen diagnosed with coronavirus died at Jinyintan Hospital in China's Wuhan on Feb. 6, a U.S. embassy spokesman in Beijing said on Saturday, in what appeared to be the first death of an American from the outbreak.
 
Kwan mgonjwa ebora ni mbaya said
Hakuna ugonjwa Kama ebora dunian kwa muhusika
Ila kwa asiye mgonjwa Corona ni mbaya zaidi kutokana na urahisi wake wa kuambukizana na ndo kinaufanya usambae kwa urahisi zaidi

Ila kwa afya ya binadam magonjwa you're hayo mawili ni mabaya
Hivi inatofauti gani na Ebola mkuu? Yan kati ya Ebola na hii Corona ipi ni mbaya zaidi?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UPDATE: Ufaransa imeripoti visa vipya vitano (5) huku visa vyote vikiwa ni raia wa nchini Uingereza ambao walikuwa wakiishi katika nyumba moja

Waligundulika kuwa wameambukizwa baada ya kuchangamana na mtu aliyetokea nchini Singapore.

DW inaripoti:
Maafisa wa afya wa Ufaransa wamesema leo raia watano wa Uingereza ikiwemo mtoto mmoja wameambukizwa virusi vya Corona nchini Ufaransa baada ya kuishi kwenye nyumba moja ya mapumziko na mtu aliyetoka Singapore hivi karibuni.

Visa hivyo vipya vimezuka baada ya mamlaka za Ufaransa kuanza kufutilia safari zilizofanywa hivi karibuni na raia mmoja wa Uingereza aliyethibitika kuwa na maambukizi ya virusi vya Corona.

Hayo yanajiri wakati idadi ya vifo vilivyotokana na maambukizi ya virusi vya Corona imepanda na kufikia 772 nchini China huku mataifa mengine yakichukua hatua kali za tahadhari kuzuia kusambaa kwa virusi hivyo.

Wakati huo huo China imefungua leo hospitali nyingine ya muda mjini Wuhan iliyo na vitanda 1500 kukakabiliana na idadi kubwa ya maambukizi yaliyofikia visa 34,546. Kundi la kwanza la matabibu liliwasili mapema leo katika hospitali hiyo mjini Wuhan yenye jumla ya wadi 32 na chumba cha kufanyia upasuaji.

====

Five new Coronavirus cases in France are British nationals who were staying in the same chalet in a ski resort. They were diagnosed with the virus after coming into contact with a person who had been in Singapore. [Sky News]
 
UPDATE: Malaysia imethibitisha kisa cha 16 cha virusi hatari vya Corona nchini humo.

====

Novel coronavirus: Malaysia confirms 16th case, mother of existing patient's friend.

KUALA LUMPUR: Malaysia has confirmed one more case of the novel coronavirus, bringing the total number of cases in the country to 16. [Channel News Asia]
 
UPDATE: Singapore imethibitisha visa vipya saba (7) vya virusi hivyo na kufikisha visa 40 nchini humo.
 
Back
Top Bottom