Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Coronavirus: Je nchi za Afrika ziko tayari kukabiliana na janga hili?

Afrika ni moja ya mabara mawili ambayo bado hayajathibitisha kisa chochote cha virusi vya corona ingawa wataalamu wameonya kuwa hilo huenda lisiendelee kwa kipindi kirefu kwasababu ya uhusiano wa bara hilo na China.

Wiki iliyopita, Shirika la Afya Duniani (WHO) lilitangaza kwamba mlipuko wa virusi vya corona ni ugonjwa wa dharura kwa dunia nzima kwasababu ya hofu kwamba nchi maskini huenda zikashindwa kukabiliana na mlipuko huo.

"Sababu kuu ya kutambua virusi hivi kama hali ya hatari duniani sio Uchina, lakini kile kinachotokea katika nchi zingine. Wasiwasi wetu mkubwa ni uwezo wa kusambaa kwa virusi hivyo, katika nchi zenye mfumo dhaifu wa afya," amesema mkuu wa WHO, Tedros Adhanom Ghebreyesus, kutoka Ethiopia.

Mifumo ya afya katika nchi nyingi za Afrika tayari inakabiliwa na ugumu wa kazi zilizolimbikizana, na hapo ndipo tunapojiuliza, je nchi hizi zinaweza kukabiliana na mlipuko kama huu ambao unasambaa kwa haraka mno?

Michael Yao, Mkuu wa huduma za dharura eneo la Afrika, amesema "baadhi ya nchi za Afika sio kwamba hazina pa kuanzia lakini uwezo ni mdogo sana".

"Tunajua vile mfumo wa afya ulivyo dhaifu katika bara la Afrika na mifumo hii tayari inazidiwa na milipuko ambayo inaendelea kujitokeza, kwa hiyo kwetu sisi ni muhimu kuutambua mapema kama janga ili tuweze kudhibiti usambaaji wake."

[BBC]
 
WHO imetoa tahadhari kwa nchi 13 barani Afrika juu ya virusi vya Corona.

Shirika la WHO limebaini nchi 13 Afrika, ambazo zimetakiwa kuwa na tahadhari ya hali ya juu kwasababu ya uhusiano wake wa moja kwa moja na Uchina. Pia linapanga kutoa usaidizi kwa nchi hizo 13 kufikia mwishoni mwa wiki hii.

Nchi hizo ni kama ifuatavyo;
  • Algeria
  • Angola
  • Democratic Republic of Congo
  • Ethiopia
  • Ghana
  • Ivory Coast
  • Kenya
  • Mauritius
  • Nigeria
  • South Africa
  • Tanzania
  • Uganda
  • Zambia

[emoji24]

Sent from my SM-G950U using Tapatalk
 
BREAKING: Idadi ya vifo imeongezeka mpaka kufikia 806.

Ripoti mpya kutoka mkoa wa Hubei pekee yaonesha ongezeko la vifo 81 huku visa vipya 2,147 vikiripotiwa mkoani humo.
 
Idadi hii ya leo ya vifo 806 kutokana na virusi vya Corona imeizidi idadi ya vifo kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa SARS wa mwaka 2003 ulioua watu takribani 774.
 
UPDATE: Mpaka sasa, idadi ya waliokufa kutokana na virusi vya Corona ni 813 huku takribani watu 37,552 wakiambukizwa virusi hivyo duniani kote.

Wagonjwa takribani 2,152 wamepata nafuu.

1581227255019.png
 
UPDATE: CORONAVIRUS
  • 37,553 confirmed cases worldwide
  • 28,942 suspected cases
  • 813 fatalities
  • 6,196 in serious/critical condition
  • 2,681 recovered
  • Most cases in China
  • 25 countries reporting cases

More updates to come!
 
Ni nchi sita (6) tu mpaka sasa kati ya nchi 54 barani Afrika zenye maabara ambazo zina uwezo wa kuchunguza virusi vya Corona.

  1. Senegal
  2. South Africa
  3. Ghana
  4. Madagascar
  5. Nigeria
  6. Sierra Leone

Hadi mapema wiki hii, kulikuwa na maabara mbili pekee zenye uwezo wa kuchunguza virusi hivi barani Afrika; Senegal na Afrika Kusini, zenye vifaa maalumu vinavyohitajika wakati wa kuchunguza virusi hivyo.

Maabara hizo zimekuwa zikitumika na nchi nyingine katika eneo hilo.

Moja ya maabara hizo, Institut Pasteur de Dakar, nchini Senegal kwa kipindi kirefu imekuwa mstari wa mbele katika ubunifu wa tiba Afrika ikiwemo utafiti wa homa ya manjano.

Hata hivyo wiki hii, Ghana, Madagascar, Nigeria na Sierra Leone zimetangaza kwamba pia nazo zina uwezo wa kufanya vipimo vya virusi vya corona.
 
Tanzania yangu je?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UPDATE: The White House has asked U.S. scientists and medical researchers to investigate the scientific origins of the novel coronavirus, as misinformation about the outbreak spreads online. [ABC News]
 
Ni nchi sita (6) tu mpaka sasa kati ya nchi 54 barani Afrika zenye maabara ambazo zina uwezo wa kuchunguza virusi vya Corona.

  1. Senegal
  2. South Africa
  3. Ghana
  4. Madagascar
  5. Nigeria
  6. Sierra Leone

Hadi mapema wiki hii, kulikuwa na maabara mbili pekee zenye uwezo wa kuchunguza virusi hivi barani Afrika; Senegal na Afrika Kusini, zenye vifaa maalumu vinavyohitajika wakati wa kuchunguza virusi hivyo.

Maabara hizo zimekuwa zikitumika na nchi nyingine katika eneo hilo.

Moja ya maabara hizo, Institut Pasteur de Dakar, nchini Senegal kwa kipindi kirefu imekuwa mstari wa mbele katika ubunifu wa tiba Afrika ikiwemo utafiti wa homa ya manjano.

Hata hivyo wiki hii, Ghana, Madagascar, Nigeria na Sierra Leone zimetangaza kwamba pia nazo zina uwezo wa kufanya vipimo vya virusi vya corona.
Africa tunakwamia wap cjui asee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila mtu anapewa ugonjwa au tatizo kutokana na uwezo wako, hiki kirusi cha Corona kinajua kabisa kikija Africa kitakua karibia asilimia 80 ya watu weusi hivo kimeamua kubaki huko kipambane na wenye uwezo nacho
Hata magonjwa mengine sijui pressure kisukari cancer huwezi kukuta machinga wa Kariakoo anaumwa maana ugonjwa wenyewe unajua nikienda kwa huyu mtu siku mbili nyingi ntammaliza.
Unapewa ugonjwa au matatizo kulingana na uwezo wako.
 
Si mchezo!

===

A man wears an astronaut outfit to protect against Coronavirus while taking a flight in Beijing. [Global Times]

1581242674648.png
 
WHO imetoa tahadhari kwa nchi 13 barani Afrika juu ya virusi vya Corona.

Shirika la WHO limebaini nchi 13 Afrika, ambazo zimetakiwa kuwa na tahadhari ya hali ya juu kwasababu ya uhusiano wake wa moja kwa moja na Uchina. Pia linapanga kutoa usaidizi kwa nchi hizo 13 kufikia mwishoni mwa wiki hii.

Nchi hizo ni kama ifuatavyo;
  • Algeria
  • Angola
  • Democratic Republic of Congo
  • Ethiopia
  • Ghana
  • Ivory Coast
  • Kenya
  • Mauritius
  • Nigeria
  • South Africa
  • Tanzania
  • Uganda
  • Zambia

[BBC]
Hapo kwenye kutusaidia vifaa wasije wakatuletena na vizusi.

Sijawahi kuyaamini mazungu, na maalabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Scientists Predict Wuhan's Virus Outbreak Will Get Much Worse.

New studies suggest that a large number of people could be walking around for days with no symptoms of the coronavirus, spreading the virus to anyone who comes in close contact. [WIRED]
 
Back
Top Bottom