Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Convincing [emoji106]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Us

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Japan imeongeza siku za hali ya hatari mpaka May 31 raia wake wameambiwa wakae tayari kuanza kuishi maisha na CoronaVirus.

Waziri Mkuu Shinzo Abe anasema,"Nchi nzima ijitayarishe kuishi na Corona au maisha na CoronaVirus, hali ikiendelea hivi hatuta weza kuendesha maisha yetu na uchumi, nitafanya ukaguzi tena May 14 ili tuone kama LockDown inaweza kutolewa mapema".

Abe anasema "Njia pekee ya kupambana na corona ni kufata sheria zilizowekwa ili tuepuke mlipuko wa maambukizo yanayoonekana katika nchi zingine".
 
Nenda ukaswali msikiti wa mtoro.
 
Inatakaikwa tuishi na corona kama tunavyoishi na UKIMWI,tahadhali kila mtu kichwani mwake si lazma kulazimishana
 
acheni kumpa kicha mhe. ukweli ni jambo jema..
 
Inatakaikwa tuishi na corona kama tunavyoishi na UKIMWI,tahadhali kila mtu kichwani mwake si lazma kulazimishana
Kulazimishana itakuwa a must,ndio maana amesema kuwe na sheria za kuishi na Corona,hebu jaribu kufukiria mtu ambaye hataki kuvaa Brakoa,hataki kutumia sanitizer,hataki kuacha kujichanganya sehemu zenye mikusanyiko isio ya lazima,hapa lazima ulazimishwe ili maisha yasonge mbele maana vinginevyo utaumiza watu wengi kwa uzembe wako...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…