Nazgur
JF-Expert Member
- Apr 19, 2020
- 3,729
- 2,851
Kulazimishana itakuwa a must,ndio maana amesema kuwe na sheria za kuishi na Corona,hebu jaribu kufukiria mtu ambaye hataki kuvaa Brakoa,hataki kutumia sanitizer,hataki kuacha kujichanganya sehemu zenye mikusanyiko isio ya lazima,hapa lazima ulazimishwe ili maisha yasonge mbele maana vinginevyo utaumiza watu wengi kwa uzembe wako...
Hujui kuna watu wanaishi kwa kutegemea misongamano sasa hao wataishije, kama wenye madisco, kumbi za starehe, nk hao itakuwaje sasa?