Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Kulazimishana itakuwa a must,ndio maana amesema kuwe na sheria za kuishi na Corona,hebu jaribu kufukiria mtu ambaye hataki kuvaa Brakoa,hataki kutumia sanitizer,hataki kuacha kujichanganya sehemu zenye mikusanyiko isio ya lazima,hapa lazima ulazimishwe ili maisha yasonge mbele maana vinginevyo utaumiza watu wengi kwa uzembe wako...

Hujui kuna watu wanaishi kwa kutegemea misongamano sasa hao wataishije, kama wenye madisco, kumbi za starehe, nk hao itakuwaje sasa?
 
Hujui kuna watu wanaishi kwa kutegemea misongamano sasa hao wataishije, kama wenye madisco, kumbi za starehe, nk hao itakuwaje sasa?
Kwahiyo mkuu unataka waachiwe ili wafe...?
 
Mtumishi wa Mungu aliyewaambia Watz kuwa kumla kondoo ni halali au unmaanisha mtumishi gani wa Mungu.
Hakuanza yeye mpaka Vatican wanakula kondoo lakini hatujaacha kuabudu lakini ni kweli chadema Wana mapepo machafu [emoji23][emoji1787]
 
UKRishi Sunak begins plan to taper back furloughing and may consider dropping wage subsidy to 60 per cent

EXCLUSIVE
 
#USIOGOPE
Idadi ya waliopona Corona yafikia 1,245,328 Duniani. Watu Milioni moja laki mbili arobaini na tano elfu, mia tatu na ishirini na wanane (1,245,328) Wamepona Kabisa.

Korona Inapona.

USIHOFU 3.jpeg


/chanzo - By. Saa 4:30 Asubuhi.
https://www.worldometers.info/coronavirus/
 
Vifo vya corona vimepindukia Elfu 70 Marekani ambapo hadi asubuhi hii wamefariki watu 72,271.

USA inaongoza pia kwa maambukizi Duniani, ina Maambukizi 1,237,633 na wamepona Watu 200,628, Italia vifo 29,315 na Maambukizi 213, 013,

Hispania vifo 25,613 na Maambukizi 250,561
 
Prince Chaaz! mbona hawamsemi semi? kesha vuta? aliambukizwa huyo!
 
Back
Top Bottom