Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Tufungue vyuo na shule. Hakuna sababu ya kuzifunga.

Tumeamua kua hii ni natural selection, atakaekufa afe atakaebaki abaki sasa shule tumefunga za nini?
 
Japan imeongeza siku za hali ya Hatari mpaka May 31 raia wake wameambiwa wakae tayari kuanza kuishi Maisha Na CoronaVirus. Waziri Mkuu Shinzo Abe anasema,"Nchi nzima ijitayarishe kuishi na Corona au Maisha na CoronaVirus, hali ikiendelea hivi hatuta weza kuendesha maisha yetu na uchumi, nitafanya ukaguzi tena may 14 ili tuone kama LockDown inaweza kutolewa mapema".
-
Abe anasema "Njia peke ya kupambana na corona ni kufata sheria zilizowekwa ili tuepuke mlipuko wa maambukizo yanayoonekana katika nchi zingine".
generally speaking, mkakati wowote ili uwe effective ni lazima utengenezwe katika mazingira ya utulivu.

kwa muktadha wa COVID-19, mazingira pekee ya utulivu yatakayoruhusu viongozi na wadau kupata muda wa kubadilishana mawazo ni uwepo wa lockdown (iwe partial au full).

ukifuatilia utagundua kuwa nchi nyingi zilizotanguliza lockdown tayari zimeweka mikakati mizuri kujikwamua kiuchumi (mtu mmoja mmoja na kama nchi) na kukinga wananchi wake na maambukizi zaidi zitakapoondoa lockdown.

Tanzania? bado hatuna mkakati wowote zaidi ya malumbano ya kisiasa na kulaumiana tu.

wanaotegemewa kuwa viongozi wa mkakati wanaishia kutuambia tuchape kazi tusiwe waoga lakini viongozi wenyewe wamejichimbia majumbani mwao wakiiogopa korona kupindukia. wanaongea na sisi wananchi milioni 50 kupitia runinga wakiwa wamezungukwa na watu 2-3 tu badala ya kuja kuongea nasi huku mtaani ambako wanatusukumia tuchape kazi!

kwa maana nyengine ni kuwa viongozi wetu wameamua kututoa kafara wananchi tufe kwa niaba yao na wao wabaki salama.
 
Japan imeongeza siku za hali ya hatari mpaka May 31 raia wake wameambiwa wakae tayari kuanza kuishi maisha na CoronaVirus.

Waziri Mkuu Shinzo Abe anasema,"Nchi nzima ijitayarishe kuishi na Corona au maisha na CoronaVirus, hali ikiendelea hivi hatuta weza kuendesha maisha yetu na uchumi, nitafanya ukaguzi tena May 14 ili tuone kama LockDown inaweza kutolewa mapema".

Abe anasema "Njia pekee ya kupambana na corona ni kufata sheria zilizowekwa ili tuepuke mlipuko wa maambukizo yanayoonekana katika nchi zingine".
Ukiweza kustabilize maambukizi unaweza kuachia shughuli ziendelee kwa utaratibu maalum.

Tatizo kwetu ni tofauti, tumeacha kila kitu kiende kiholela ndio maana tuna maambukizi mengi kuliko most of our neighbours.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pia hakuna wabunge watatu waliokufa kwa corona ndani ya siku 10
Hapa ndio mnapo feli misukule ya ufipa Corona kuigeuza siasa na ndipo walipo feli chadema na kuonekana wachawi ila sishangai hata mtumishi wa MUNGU kasema chadema Wana mapepo machafu
 
Hapa ndio mnapo feli misukule ya ufipa Corona kuigeuza siasa na ndipo walipo feli chadema na kuonekana wachawi ila sishangai hata mtumishi wa MUNGU kasema chadema Wana mapepo machafu

Mtumishi wa Mungu aliyewaambia Watz kuwa kumla kondoo ni halali au unmaanisha mtumishi gani wa Mungu.
 
Japan imeongeza siku za hali ya hatari mpaka May 31 raia wake wameambiwa wakae tayari kuanza kuishi maisha na CoronaVirus.

Waziri Mkuu Shinzo Abe anasema,"Nchi nzima ijitayarishe kuishi na Corona au maisha na CoronaVirus, hali ikiendelea hivi hatuta weza kuendesha maisha yetu na uchumi, nitafanya ukaguzi tena May 14 ili tuone kama LockDown inaweza kutolewa mapema".

Abe anasema "Njia pekee ya kupambana na corona ni kufata sheria zilizowekwa ili tuepuke mlipuko wa maambukizo yanayoonekana katika nchi zingine".
na bado tunamshauri afungue shule mapema
 
Unamsikiliza mwanasiasa aliyejificha kuogopa corona Kama si janga arudi chomboni
 
Hapa ndio mnapo feli misukule ya ufipa Corona kuigeuza siasa na ndipo walipo feli chadema na kuonekana wachawi ila sishangai hata mtumishi wa MUNGU kasema chadema Wana mapepo machafu
Mapepo yakamuondoa akawaacha chadema wapo wanadunda
 
Back
Top Bottom