Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Tufungue vyuo na shule. Hakuna sababu ya kuzifunga.

Tumeamua kua hii ni natural selection, atakaekufa afe atakaebaki abaki sasa shule tumefunga za nini?
 
generally speaking, mkakati wowote ili uwe effective ni lazima utengenezwe katika mazingira ya utulivu.

kwa muktadha wa COVID-19, mazingira pekee ya utulivu yatakayoruhusu viongozi na wadau kupata muda wa kubadilishana mawazo ni uwepo wa lockdown (iwe partial au full).

ukifuatilia utagundua kuwa nchi nyingi zilizotanguliza lockdown tayari zimeweka mikakati mizuri kujikwamua kiuchumi (mtu mmoja mmoja na kama nchi) na kukinga wananchi wake na maambukizi zaidi zitakapoondoa lockdown.

Tanzania? bado hatuna mkakati wowote zaidi ya malumbano ya kisiasa na kulaumiana tu.

wanaotegemewa kuwa viongozi wa mkakati wanaishia kutuambia tuchape kazi tusiwe waoga lakini viongozi wenyewe wamejichimbia majumbani mwao wakiiogopa korona kupindukia. wanaongea na sisi wananchi milioni 50 kupitia runinga wakiwa wamezungukwa na watu 2-3 tu badala ya kuja kuongea nasi huku mtaani ambako wanatusukumia tuchape kazi!

kwa maana nyengine ni kuwa viongozi wetu wameamua kututoa kafara wananchi tufe kwa niaba yao na wao wabaki salama.
 
Ukiweza kustabilize maambukizi unaweza kuachia shughuli ziendelee kwa utaratibu maalum.

Tatizo kwetu ni tofauti, tumeacha kila kitu kiende kiholela ndio maana tuna maambukizi mengi kuliko most of our neighbours.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pia hakuna wabunge watatu waliokufa kwa corona ndani ya siku 10
Hapa ndio mnapo feli misukule ya ufipa Corona kuigeuza siasa na ndipo walipo feli chadema na kuonekana wachawi ila sishangai hata mtumishi wa MUNGU kasema chadema Wana mapepo machafu
 
Hapa ndio mnapo feli misukule ya ufipa Corona kuigeuza siasa na ndipo walipo feli chadema na kuonekana wachawi ila sishangai hata mtumishi wa MUNGU kasema chadema Wana mapepo machafu


Mtumishi wa Mungu aliyewaambia Watz kuwa kumla kondoo ni halali au unmaanisha mtumishi gani wa Mungu.
 
na bado tunamshauri afungue shule mapema
 
Unamsikiliza mwanasiasa aliyejificha kuogopa corona Kama si janga arudi chomboni
 
Hapa ndio mnapo feli misukule ya ufipa Corona kuigeuza siasa na ndipo walipo feli chadema na kuonekana wachawi ila sishangai hata mtumishi wa MUNGU kasema chadema Wana mapepo machafu
Mapepo yakamuondoa akawaacha chadema wapo wanadunda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…