UPDATE: The Hubei health authority reported that 103 more people died of the coronavirus in Hubei province on Monday, raising the death toll in the epidemic's epicenter to 974.
The total number of deaths is now at least 1,011 in mainland China and 1,013 globally. [CNN]
MPYA: Mamlaka ya afya ya mkoani Hubei imeripoti kuwa watu 103 zaidi wamekufa kwa ugonjwa wa Corona katika mkoa wa Hubei Jumatatu, na kuongeza idadi ya vifo katika mlipuko wa janga hilo kufikia 974 mkoani humo.
Idadi ya vifo sasa ni isiyopungua 1,011 China bara na 1,013 ulimwenguni.
Central China's Hubei Province, the epidemic's epicenter, reported 103 new deaths and 2,097 new confirmed cases of novel coronavirus pneumonia on Feb. 10.
NEWS ALERT: The World Health Organization raised concern about the spread of coronavirus cases among people who have not been to China, saying it could be ‘the spark that becomes a bigger fire’. [Reuters]
HABARI: Shirika la Afya Ulimwenguni WHO limeibua wasiwasi juu ya kuenea kwa visa vya ugonjwa wa virusi vya Corona miongoni mwa watu ambao hawajawahi kwenda nchini China.
Shirika limesema, jambo hilo linaweza kuwa 'cheche isababishayo moto mkubwa'.
UPDATE: Vyombo vya habari vya nchini China vimethibitisha kwamba visa visivyoonesha dalili za virusi hivyo havitajumuishwa katika hesabu rasmi ya serikali.
Hii inapingana na miongozo ya Shirika la Afya Ulimwenguni WHO.
Haijulikani ni visa vingapi visivyoonesha dalili za virusi hivyo.