Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Confirmed death toll from Wuhan Coronavirus:
  • February 9: 905 people
  • February 4: 490 people
  • January 30: 213 people
  • January 25: 56 people
  • January 20: 6 people
 
UPDATE: Vifo takribani sita (6) vimeongezeka hivyo kufikia 910 hadi sasa.

Takribani watu 40, 553 wameambukizwa virusi vya Corona duniani kote huku wengine takribani 2,152 wakipata nafuu.

1581295362378.png
 
News Alert: Nearly 100 people died from the coronavirus on Sunday, many of them in Wuhan, China, the epicenter of the epidemic.

It was the single deadliest day since the outbreak began. [NY Times]
 
BREAKING: Idadi ya vifo kutokana na virusi vya Corona yafikia 1013.
 
UPDATE: The Hubei health authority reported that 103 more people died of the coronavirus in Hubei province on Monday, raising the death toll in the epidemic's epicenter to 974.

The total number of deaths is now at least 1,011 in mainland China and 1,013 globally. [CNN]
 
MPYA: Mamlaka ya afya ya mkoani Hubei imeripoti kuwa watu 103 zaidi wamekufa kwa ugonjwa wa Corona katika mkoa wa Hubei Jumatatu, na kuongeza idadi ya vifo katika mlipuko wa janga hilo kufikia 974 mkoani humo.

Idadi ya vifo sasa ni isiyopungua 1,011 China bara na 1,013 ulimwenguni.
 
Central China's Hubei Province, the epidemic's epicenter, reported 103 new deaths and 2,097 new confirmed cases of novel coronavirus pneumonia on Feb. 10.

The province now stands at:
  • 31,728 confirmed
  • 974 dead
  • Death rate: 3.07%
  • 2,222 recovered
  • 25,087 under treatment

[CGTN]
 
TOTAL: Coronavirus
  • Infected: 42,729
  • Deaths: 1,013

Map: Coronavirus

1581378418775.png
 
UPDATE: CORONAVIRUS
  • 42,729 confirmed cases worldwide
  • 23,589 suspected cases
  • 1,013 fatalities
  • 7,463 in serious/critical condition
  • 3,752 recovered
  • Most cases in China
  • 25 countries reporting cases

More updates to come!
 
NEWS ALERT: The World Health Organization raised concern about the spread of coronavirus cases among people who have not been to China, saying it could be ‘the spark that becomes a bigger fire’. [Reuters]
 
HABARI: Shirika la Afya Ulimwenguni WHO limeibua wasiwasi juu ya kuenea kwa visa vya ugonjwa wa virusi vya Corona miongoni mwa watu ambao hawajawahi kwenda nchini China.

Shirika limesema, jambo hilo linaweza kuwa 'cheche isababishayo moto mkubwa'.
 
UPDATE: Marekani imethibitisha kisa kingine cha virusi vya Corona katika jimbo la California hivyo kufikisha jumla ya visa 13 nchini humo.
 
UPDATE: Vyombo vya habari vya nchini China vimethibitisha kwamba visa visivyoonesha dalili za virusi hivyo havitajumuishwa katika hesabu rasmi ya serikali.

Hii inapingana na miongozo ya Shirika la Afya Ulimwenguni WHO.

Haijulikani ni visa vingapi visivyoonesha dalili za virusi hivyo.
 
UPDATE: The number of confirmed cases of novel coronavirus rose to 42,638 in the Chinese mainland as of Feb 10, including 1,016 deaths. [China Daily]
 
UPDATE: Idadi ya vifo mpaka sasa ni 1,018 duniani kote, kwa mujibu wa ripoti rasmi.

====

China's National Health Commission reports 370 new cases and 5 new deaths, adding to the 2,097 cases and 103 deaths reported earlier.
 
UPDATE: Korea Kusini imeripoti kisa kingine kimoja (1) cha virusi vya Corona nchini humo hivyo kufikisha jumla ya visa 28 nchini humo. [Korea Herald]
 
Back
Top Bottom