FRANC THE GREAT
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 5,500
- 8,060
- Thread starter
-
- #341
sasa huku mazishi yapoje? Ikiwa kila baada ya masaa 12 angalau vifo 60 vinafokea? Kuna nyumba haijafikwa na janga hilo? Mji mzima si kilio tupu?BREAKING: Mkoa wa Hubei nchini China umetangaza vifo vipya 242 kutokana na virusi vya Corona.
Visa vipya 14,840 vimeripotiwa mkoani humo.
Hali ni tete!sasa huku mazishi yapoje? Ikiwa kila baada ya masaa 12 angalau vifo 60 vinafokea? Kuna nyumba haijafikwa na janga hilo? Mji mzima si kilio tupu?