Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

FAHAMU: Ugonjwa unaosababishwa na virusi vya Corona unajulikana kama COVID-19 ama Coronavirus Disease 2019.

Virusi vyenyewe vya Corona vinaitwa SARS-CoV-2 ama kwa kirefu Severe Acute Respiratory Syndrome Coronavirus 2.
 
UPDATE: World Health Organisation WHO says it is too early to predict the end of coronavirus epidemic.
 
Virusi vya Corona vyaweza kuwapo katika mahali pa wazi kwa muda wa siku 5 hadi 20. Moja ya kitu kinachoweza kuvieneza zaidi virusi hivyo ni fedha.

Mzunguko wa fedha wa siku moja tu ni mkubwa sana. Tahadhari gani zinachukuliwa kuhusiana na hili? Tazama hii:

COVID-19 / Coronavirus can stay alive on surfaces for 5-20 days. Money is now being disinfected by staff to prevent money circulation spreading the virus.

 
Mpaka sasa, takwimu mpya kutoka nchini China bado hazijatoka.

Tuendelee kuzisubiri.

More updates to come!
 
Mkoa wa Hubei ulipaswa kutoa ripoti mpya majira ya saa 12 alfajiri kwa saa za Hubei lakini mpaka sasa ni saa 1 na dakika 45 bado hakuna ripoti yoyote ya leo.

Kunani?
 
BREAKING: Mkoa wa Hubei nchini China umetangaza vifo vipya 242 kutokana na virusi vya Corona.

Visa vipya 14,840 vimeripotiwa mkoani humo.
 
JUST IN: The Hubei province in China announces nearly 15,000 new coronavirus cases after revising their diagnosis standards. An additional 242 deaths are also being reported. [News Agencies]
 
BREAKING: Mkoa wa Hubei nchini China umetangaza vifo vipya 242 kutokana na virusi vya Corona.

Visa vipya 14,840 vimeripotiwa mkoani humo.
sasa huku mazishi yapoje? Ikiwa kila baada ya masaa 12 angalau vifo 60 vinafokea? Kuna nyumba haijafikwa na janga hilo? Mji mzima si kilio tupu?
 
UPDATE: Idadi ya waliokufa kutokana na virusi hivyo mpaka sasa imefikia 1355.

Idadi hiyo ni kwa mujibu wa ripoti rasmi.
 
UPDATE: CORONAVIRUS
  • 60,016 cases worldwide
  • New criteria includes clinically diagnosed cases
  • 16,067 suspected cases
  • 1,355 fatalities
  • 8,070 in serious/critical condition
  • 5,611 recovered
  • Most cases in China
  • 25 countries reporting cases

More updates to come!
 
Mkoani Hubei:

Idadi ya visa vyote: 48,206
Idadi ya vifo vyote: 1,310
Idadi ya waliopata nafuu: 3,441

The total number of infections in Hubei province climbes to 48,206, with 1,310 deaths and 3,441 cases of recovery.
 
NEWS ALERT: The newly confirmed cases include clinical diagnosed cases in line with latest unveiled unified standards on treating COVID-19.

Among 14,840 new infections reported, 13,332 were clinical diagnosed cases. Hubei reported infection cases in this way for the first time on Thursday. [Global Times]
 
UPDATE: Maafisa wa afya nchini Marekani wangali tayari wakisubiri wito kutoka China ili kwenda kusaidia kukabiliana na janga la virusi vya Corona.

U.S. health officials await invite to assist with coronavirus in China. [Reuters]
 
FAHAMU: Idadi ya vifo 242 iliyoripotiwa katika ripoti ya hii leo ni kubwa kuwahi kuripotiwa tangu ripoti ya kwanza kabisa ya mlipuko wa virusi vya Corona ilipotolewa.
 
FAHAMU: Ni nini chanzo cha idadi ya visa vipya kuongezeka sana hii leo?

Katika kulifuatilia hili, nimepata taarifa kuwa mamlaka ya afya mkoani Hubei imeanza kutumia vipimo vya CT Scan ili kuwapima watu ikiwa pia ni kukabiliana na uhaba wa vifaa vya vipimo vya RNA vilivyokuwa vikitumika hapo awali.

Hivyo basi visa vilivyoripotiwa hii leo vinajumuisha na vile vilivyopatikana kupitia CT Scan, ndiyo maana idadi ya visa vipya imekuwa kubwa zaidi katika ripoti ya leo.
 
IMPORTANT!

The outbreak of novel coronavirus is a timely reminder to use everyday hygiene that stops the spread of infectious diseases.

When you sneeze or cough, cover your face with the inside of your elbow or use a tissue and throw it away. [UNICEF]

1581557156176.png
 
Baada ya klabu ya soka ya Manchester United kumsajili Odion Ighalo kutokea klabu ya Shanghai Shenhua ya nchini China, mchezaji huyo amezuiliwa na klabu yake kutojumuika na wachezaji wenzake kambini.

Hii ni kutokana na yeye kuhofiwa kuwa na maambukizi ya virusi vya Corona hivyo basi atakuwa nje ya kikosi hicho mpaka pale siku 14 za karantini zitakapohitimika panapo Ijumaa.

1581558090993.png


Manchester United tell Odion Ighalo to stay away from Carrington over coronavirus fears - sources.

Manchester United have told new signing Odion Ighalo to stay away from their Carrington training base because of fears over coronavirus, sources have told ESPN.

The striker has been training at the National Taekwondo Centre, next door to Manchester City's Etihad Stadium, since arriving from Shanghai Shenhua as a precaution.

After signing on loan on deadline day, Ighalo arrived in Manchester from China on Feb. 1 and will remain in the mandated 14-day incubation period until Friday. [ESPN]
 
UPDATE: Shirika la ndege la United Airlines la nchini Marekani limerefusha zaidi sitisho lake la safari zake za nchini China hadi panapo mwezi Aprili mwishoni kutokana na mlipuko wa virusi vya Corona vinavyozidi kuenea kwa kasi.
 
Back
Top Bottom