FRANC THE GREAT
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 5,500
- 8,060
- Thread starter
-
- #501
NEWS ALERT: According to front-line doctors, coronavirus "not only damages the lungs, but also damages the circulatory system outside the lungs, the heart, liver, kidneys, and blood, so there are so many sudden collapses!"
UPDATE: Korea Kusini imeripoti kisa kipya kimoja (1) cha virusi vya Corona nchini humo; mwanamke ambaye hana historia ya kusafiri kimataifa.
South Korea reports 1 new case of coronavirus; the woman has no travel history.
Nilikuwa hapa T3 juzi nikakuta wachina hapa arrival area na mask zao mdomoni nilishangaa sana kwanini hatufungi hizi safari.Africa bado tuko salama hadi sasa!? Bado kuna wanaenda nje ukienda pale airport bado kuna wanaoingia na kutoka tena wengi tu, safari za kimataifa zisitishwe bana maambukizi yasizidi duh!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuwa hapa T3 juzi nikakuta wachina hapa arrival area na mask zao mdomoni nilishangaa sana kwanini hatufungi hizi safari.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi wanapimwa kweli huko kwenye arrival area hapo airport?Nilikuwa hapa T3 juzi nikakuta wachina hapa arrival area na mask zao mdomoni nilishangaa sana kwanini hatufungi hizi safari.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wote humo ndani watakuwa na Corona mkuu bado havijajitokeza tu...UPDATE: Meli ya Diamond Princess
Watu wengine 85 waliokuwa katika meli hiyo wamebainika kuwa na maambukizi.
Idadi ya visa vyote katika meli hiyo imepanda mpaka kufikia 454.
View attachment 1361277
I doubt! Sidhani kama usalama upo.Africa bado tuko salama hadi sasa!? Bado kuna wanaenda nje ukienda pale airport bado kuna wanaoingia na kutoka tena wengi tu, safari za kimataifa zisitishwe bana maambukizi yasizidi duh!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Njia za uenezwaji wa virusi hivyo ni za wazi sana.Hapa ndo tujiulize hii ni vipi
Pale airport upimaji wake upoje?I doubt! Sidhani kama usalama upo.