Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

FAHAMU: Kwa mara ya kwanza kulingana na takwimu rasmi, idadi ya visa vipya vya kimataifa ni kubwa zaidi kuliko ile ya ndani ya China, tukiondoa visa vya mkoa wa Hubei.

For the first time, according to official figures, the number of international cases is higher than the number of cases in mainland China, when excluding Hubei province.
 
NEWS ALERT: According to front-line doctors, coronavirus "not only damages the lungs, but also damages the circulatory system outside the lungs, the heart, liver, kidneys, and blood, so there are so many sudden collapses!"
 
UPDATE: Baada ya ongezeko la vifo vitano (5) vilivyoripotiwa nje ya mkoa wa Hubei, Idadi yote katika takwimu za leo nchini China imefikia 98.

Watu zaidi ya 73,000 duniani wamebainika kuwa na maambukizi huku wengi wao wakiwa raia wa China.
 
UPDATE: Korea Kusini imeripoti kisa kipya kimoja (1) cha virusi vya Corona nchini humo; mwanamke ambaye hana historia ya kusafiri kimataifa.

South Korea reports 1 new case of coronavirus; the woman has no travel history.
 
Ndio maana ikaitwa Corona ambayo husimamia coronary artery.
Kuna uwezekano kaugonjwa kako on trial
NEWS ALERT: According to front-line doctors, coronavirus "not only damages the lungs, but also damages the circulatory system outside the lungs, the heart, liver, kidneys, and blood, so there are so many sudden collapses!"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UPDATE: Korea Kusini imeripoti kisa kipya kimoja (1) cha virusi vya Corona nchini humo; mwanamke ambaye hana historia ya kusafiri kimataifa.

South Korea reports 1 new case of coronavirus; the woman has no travel history.

Hapa ndo tujiulize hii ni vipi
 
Africa bado tuko salama hadi sasa!? Bado kuna wanaenda nje ukienda pale airport bado kuna wanaoingia na kutoka tena wengi tu, safari za kimataifa zisitishwe bana maambukizi yasizidi duh!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuwa hapa T3 juzi nikakuta wachina hapa arrival area na mask zao mdomoni nilishangaa sana kwanini hatufungi hizi safari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UPDATE: Meli ya Diamond Princess

Visa vipya 88 vimeripotiwa katika meli hiyo iliyopo chini ya uangalizi maalumu katika bandari ya Yokohama nchini Japan.

Idadi ya watu wote waliobainika kuwa na maambukizi ya COVID-19 katika meli hiyo imeongezeka mpaka kufikia 542.

1024x723_191639972603.jpg
 
UPDATE: COVID-19
  • Hong Kong imeripoti kisa kipya kimoja (1) hii leo
  • Singapore imeripoti visa vipya vinne (4)
  • Japan imeripoti visa vipya saba (7) hadi sasa tofauti na meli ya Diamond Princess
 
UPDATE: COVID-19
  • Visa takribani 73,434 vimeripotiwa hadi sasa duniani kote
  • Kifo kipya kimeripotiwa mkoani Hubei
  • Jumla ya vifo vyote hadi sasa ni 1,874 ulimwenguni kote
  • Kwa mujibu wa takwimu rasmi
 
Back
Top Bottom