FRANC THE GREAT
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 5,500
- 8,060
- Thread starter
-
- #561
I doubt! Sidhani kama usalama upo.
Duuuuu. Ikiingia kwenye hizi nchi zenye weak healthy system twafa woteUPDATE: Iran has announced that all schools and universities in Qom province will be closed on Thursday, following the confirmation of 2 deaths caused by coronavirus. [state media]
Aisee!Duuuuu. Ikiingia kwenye hizi nchi zenye weak healthy system twafa wote
Sent using Jamii Forums mobile app
UPDATE: Meli ya Diamond Princess
Watu takribani 28 waliobainika kuwa na virusi vya COVID-19 katika meli hiyo wameripotiwa kuwa katika hali ya umahututi hivi sasa.
View attachment 1363559
Duuh, hawajawaua kweli hawaUPDATE: Vifo vya kwanza vimeripotiwa nchini Iran.
Vifo hivyo ni vya watu wawili walioripotiwa kuwa na maambukizi hapo awali hii leo ambao hawakuwahi kusafiri nje ya nchi hiyo.
Kisa cha Egypt kina utata!