Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

UPDATE: Iran has announced that all schools and universities in Qom province will be closed on Thursday, following the confirmation of 2 deaths caused by coronavirus. [state media]
 
BREAKING: Hubei nchini China imeripoti vifo vipya 108 kutokana na virusi vya Corona.
 
UPDATE: Meli ya Diamond Princess

Watu wapatao 28 waliobainika kuwa na virusi vya COVID-19 katika meli hiyo wameripotiwa kuwa katika hali ya umahututi hivi sasa.

1582154591115.png
 
UPDATE: Korea Kusini imeripoti visa vipya vitano (5) vya COVID-19.

Visa vyote nchini humo vimefikia 58 hadi sasa.
 
UPDATE: Hadi hivi sasa, jumla ya visa vipatavyo 75,640 vimeripotiwa ulimwenguni huku idadi ya waliokufa kutokana na virusi vya Corona ikifikia 2,121.

Hizo ni takwimu rasmi. Je hali halisi iko vipi?
 
UPDATE: Ongezeko la haraka la visa vipya nchini Korea Kusini

Hapo awali, Korea Kusini iliripoti visa vipya vitano (5) lakini hivi punde tu, kuna taarifa ya ongezeko la haraka la visa vipya 24.

Hivyo mpaka wakati huu, idadi kamili ya visa vyote nchi humo imefikia 82.
 
UPDATE: According to BBC, 25 people are currently being quarantined in Iran on suspicion that they might have coronavirus.
 
Mpaka hivi sasa, Wizara ya afya ya nchini China, bado haijatoa takwimu za leo za kitaifa nchini humo.

Tuendelee kusubiri!
 
UPDATE: Uingereza kutuma ndege nchini Japan panapo Ijumaa ili kuwahamisha raia wake waliopo katika meli ya Diamond Princess

UK to send an evacuation flight for Britons to depart Tokyo on Friday
UK Foreign Secretary Dominic Raab said on Thursday that the government has arranged an evacuation flight for British nationals on board the Diamond Princess cruise ship to depart Tokyo on Friday. [Reuters]
 
FAHAMU: Huku idadi ya vifo ikiendelea kuongezeka, ni vifo nane (8) mpaka hivi sasa ndivyo vilivyoripotiwa nje ya China.
  • Japan (1)
  • Hong Kong (2)
  • Taiwan (1)
  • Ufaransa (1)
  • Ufilipino (1)
  • Iran (2)
 
UPDATE: Hubei Province (including Wuhan)
  • 62,013 cases
  • 2,029 deaths
  • 9,289 in serious condition
  • 1,957 in critical condition
 
UPDATE: Takwimu za kitaifa nchini China zimetoka.

Wizara ya afya ya nchini humo imetangaza visa vipya 60 pamoja na vifo vipya sita (6) nje ya mkoa wa Hubei.
 
Back
Top Bottom