Inaonesha kuna muambukizaji hapoKumekuwa na cases mbalimbali za watu kubainika kuwa na maambukizi ya COVID-19 lakini hawakuwahi kusafiri kabisa nje ya nchi zao.
Hii ni hatari sana na yawezekana kuwepo mtandao mkubwa sana wa maambukizi ya ndani (local transmission) unaozunguka visa vya namna hii ambavyo ni vigumu kubainika mapema.
Ngoja tuone itakuwajeUPDATE: Iran has announced that all schools and universities in Qom province will be closed on Thursday, following the confirmation of 2 deaths caused by coronavirus. [state media]
Aisee huu ugonjwa kama wasumbua nchi kubwa za dunia ya kwanza sisi ngozi ngumu itakuwaje?UPDATE: Meli ya Diamond Princess
Watu wapatao 28 waliobainika kuwa na virusi vya COVID-19 katika meli hiyo wameripotiwa kuwa katika hali ya umahututi hivi sasa.
View attachment 1363559
Naona Korea maambukizi yanapanda mlimaUPDATE: Korea Kusini imeripoti visa vipya vitano (5) vya COVID-19.
Visa vyote nchini humo vimefikia 58 hadi sasa.
Iran na North Korea wataipataUPDATE: According to BBC, 25 people are currently being quarantined in Iran on suspicion that they might have coronavirus.
Hali ni tete!
Warudie tena kumpima mara kwa mara, isije ikawa wanasema hana maambukizi kumbe anaye.Kisa cha Egypt kina utata!
Hapo awali vipimo vilionesha kuwa mtu huyo ana maambukizi lakini vipimo vya baadaye vikaonesha tofauti kuwa hana.
Bado kuna maswali mengi kuhusiana na hilo.
Ndio ujue Mungu yupo, anaruhusu mitihani na kuacha upenyo.Aisee huu ugonjwa kama wasumbua nchi kubwa za dunia ya kwanza sisi ngozi ngumu itakuwaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Target kwa China siyo Africa, Waafrica wanaweza kutibiwa na wakapona msala upo kwa hao wachinaWarudie tena kumpima mara kwa mara, isije ikawa wanasema hana maambukizi kumbe anaye.
Target ni Africa.
Kwa Jina La Yesu Kristo liishie hukohuko ilikotoka
Sent using Jamii Forums mobile app
Target kwa China siyo Africa, Waafrica wanaweza kutibiwa na wakapona msala upo kwa hao wachina
Ingekuwa Africa ungeanzia humu humu Africa
Sent from my iPhone 12 using Jamiiforums App
Unahabari za Ndani Ya IRAN Kuliko Waajemi Wenyewe....Iran imeamua kuwaua hao wagonjwa. Maana haiwezekani wakafa mapema
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah Ayatollah ajapigwa apo?UPDATE: Visa viwili vya kwanza vimeripotiwa nchini Iran.
Hii meli ni kubwa sana inabeba watu 3000+!! Dah inazidi ile TITANIC??UPDATE: Meli ya Diamond Princess
Visa vipya 79 vimeripotiwa katika meli hiyo. Idadi ya visa vyote katika meli hiyo imeongezeka mpaka kufikia 621.
Hadi hivi sasa, jumla ya watu 3,011 wamekwishafanyiwa vipimo.
View attachment 1362824
UPDATE: Hadi hivi sasa, jumla ya visa vipatavyo 75,640 vimeripotiwa ulimwenguni huku idadi ya waliokufa kutokana na virusi vya Corona ikifikia 2,121.
Hizo ni takwimu rasmi. Je hali halisi iko vipi?