HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Inaonesha kuna muambukizaji hapoKumekuwa na cases mbalimbali za watu kubainika kuwa na maambukizi ya COVID-19 lakini hawakuwahi kusafiri kabisa nje ya nchi zao.
Hii ni hatari sana na yawezekana kuwepo mtandao mkubwa sana wa maambukizi ya ndani (local transmission) unaozunguka visa vya namna hii ambavyo ni vigumu kubainika mapema.
Sent using Jamii Forums mobile app