Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Kumekuwa na cases mbalimbali za watu kubainika kuwa na maambukizi ya COVID-19 lakini hawakuwahi kusafiri kabisa nje ya nchi zao.

Hii ni hatari sana na yawezekana kuwepo mtandao mkubwa sana wa maambukizi ya ndani (local transmission) unaozunguka visa vya namna hii ambavyo ni vigumu kubainika mapema.
Inaonesha kuna muambukizaji hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UPDATE: Meli ya Diamond Princess

Japan imeripoti vifo vya wasafiri wawili (2) waliokuwa katika meli hiyo ambapo ni vifo vya kwanza kabisa vinavyohusiana na meli hiyo iliyopo katika uangalizi maalumu nchini Japan.

Vifo hivyo ni raia wa Kijapani, mwanamume na mwanamke, waliokuwa na miaka ya 80.

1582171831711.png
 
Kisa cha Egypt kina utata!

Hapo awali vipimo vilionesha kuwa mtu huyo ana maambukizi lakini vipimo vya baadaye vikaonesha tofauti kuwa hana.

Bado kuna maswali mengi kuhusiana na hilo.
Warudie tena kumpima mara kwa mara, isije ikawa wanasema hana maambukizi kumbe anaye.

Target ni Africa.

Kwa Jina La Yesu Kristo liishie hukohuko ilikotoka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Warudie tena kumpima mara kwa mara, isije ikawa wanasema hana maambukizi kumbe anaye.

Target ni Africa.

Kwa Jina La Yesu Kristo liishie hukohuko ilikotoka

Sent using Jamii Forums mobile app
Target kwa China siyo Africa, Waafrica wanaweza kutibiwa na wakapona msala upo kwa hao wachina

Ingekuwa Africa ungeanzia humu humu Africa

Sent from my iPhone 12 using Jamiiforums App
 
KWELI UNGONJWA HUU NI HATARI KULIKO. SASA HAPA KUNA SWALI INASEMEKANA KUWA AMERCA NDO KAPELEKA UGONJWA HUU KI BIOLOGY WEAPONS JE KUNA UKWELI HAPO?
 
Target kwa China siyo Africa, Waafrica wanaweza kutibiwa na wakapona msala upo kwa hao wachina

Ingekuwa Africa ungeanzia humu humu Africa

Sent from my iPhone 12 using Jamiiforums App

Yawezekana ikawa hivyo

Mi namfuatilia yule wa Egypt maendeleo yake alafu yule Mcameroon anadai hataki kurudi kwao mpaka amalize shule hataki kupeleka ugonjwa nyumbani Africa.

Kapevuka kijana!
 
UPDATE: Visa vipya nane (8) vimeripotiwa nchini Japan.

Mpaka sasa jumla ya visa 93 vimeripotiwa nchini humo huku wagonjwa wanne (4) wakiwa mahututi.
 
Back
Top Bottom