FRANC THE GREAT
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 5,500
- 8,060
- Thread starter
-
- #701
NEWS ALERT: One of the new cases in Japan is a former passenger of the Diamond Princess cruise ship. She tested negative and was allowed to leave, but has now tested positive.
Kwasababu nimaradhi ambayo yanazuia maingiliano baina ya watu na watu kwakukhofia maambukizi zaidi
UPDATE: Visa vipya nane (8) vimeripotiwa nchini Italia.
Mpaka sasa idadi ya visa vyote nchini humo imefikia 62, wagonjwa wapatao saba (7) wakiwa mahututi huku kukiwa na uwezekano wa visa vipya kuongezeka zaidi.
Mpaka sasa bado chanzo cha kuzuka kwa kasi kwa maambukizi nchini humo hakijajulikana.Italia kuna shida gani? Mbona visa vyatokea vingi kwa muda mfupi?
Sent using Jamii Forums mobile app
UPDATE: Italia
Visa vipya 14 vimeripotiwa nchini humo. Visa vipya 57 ndani ya siku moja. Idadi ya visa vyote mpaka sasa ni 77.
Mamlaka nchini humo zimeweka zuio la kutosafiri na kutoka katika maeneo kadhaa ili kuzuia kuenea zaidi kwa maambukizi.