Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

UPDATE: Italia

Baadhi ya mechi za soka hususani za ligi kuu Serie A zilizopangwa kuchezwa Jumapili zimesimamishwa kutokana na mlipuko wa virusi vya Corona katika maeneo kadhaa nchini humo.

Three Serie A matches suspended due to virus deaths in Italy
Three Serie A soccer matches scheduled for Sunday in the northern regions of Lombardy and Veneto were suspended after the deaths of two people infected with COVID-19.

On orders from the Italian government, the games called off were:
  • Inter Milan vs. Sampdoria
  • Atalanta vs. Sassuolo and
  • Hellas Verona vs. Cagliari

Three other matches in Genoa, Turin and Rome on Sunday are going ahead as scheduled. [Al Jazeera]
 
UPDATE: Mpaka sasa visa takribani 78,754 vimeripotiwa ulimwenguni huku idadi ya waliokufa kutokana na virusi vya Corona ikifikia 2,460 duniani kote.

Takwimu hizo ni kulingana na ripoti rasmi.
 
NEWS ALERT: Violating the lockdown in Italy is punishable by up to 3 months in prison or a fine up to 206 euros ($223). [La Repubblica]
 
UPDATE: Wizara ya afya ya China imeripoti visa vipya 18 pamoja na kifo kimoja (1). Takwimu hizo hazihusiani na mkoa wa Hubei.

Taarifa ya kifo kimoja (1) ni kutokea mkoa wa Guangdong.
 
UPDATE: Australia imetangaza kisa kipya kimoja (1) nchini humo. Kisa hicho ni miongoni mwa abiria aliyekuwemo katika meli ya Diamond Princess.

Mpaka sasa idadi ya visa vyote nchini Australia imefikia 22.
 
Baadhi ya watu waliotoka katika meli ya Diamond Princess na kuonekana wapo salama wameanza kuripotiwa kama visa vipya.
 
Vimepungua kwa kiasi fulani nchini China ukilinganisha na hapo awali (kwa mujibu wa takwimu rasmi) lakini nje ya China hali ni tofauti kidogo.
Na China ndiye atakayekuja kuwa muuzaji mkuu wa tiba dhidi ya Coronavirus maana saa hizi yeye anapambana kuokoa wananchi wake sisi kwetu tuko busy na mengine hayatusu....tatizo muda tu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UPDATE: Italia

Visa vipya 14 vimeripotiwa nchini humo. Visa vipya 57 ndani ya siku moja. Idadi ya visa vyote mpaka sasa ni 77.

Mamlaka nchini humo zimeweka zuio la kutosafiri na kutoka katika maeneo kadhaa ili kuzuia kuenea zaidi kwa maambukizi.

Duh! Hii balaa
 
Baadhi ya watu waliotoka katika meli ya Diamond Princess na kuonekana wapo salama wameanza kuripotiwa kama visa vipya.

Hii kesi za mtu kupimwa mwanzo anaonekana negative halafu anakuja kuonekana Positive ni hatari sana.
,Mjapan alivyowapiga quarantined kwenye meli nadhani ilikuwa uamuzi bora.
 
Mungu hawezi kutuokoa kama tutaendelea kuacha mipaka yetu wazi kwa wachina

Kabisa, Serikali isimamie hili kwani likitufika hawataweza kulimudu, Kuna nchi sasa hivi hawakugongei kuingia kama passport yako inaonyesha ulikuwa China kuanzia January 2020

Huku kwetu wachina wanaingia tu.sijui tunajiamini nini.
 
Africa tuweke mpaka hakuna mtu yeyote wa taifa la nje kuingia wala kutoka Africa, na tuweke sheria kali atakayekiuka katazo hilo.

Na kwamba, kama ni bidhaa tunazo tutabadilishana wenyewe kwa wenyewe, Mwisho!
 
Hiii CORONA kama vile wachina waliijuwa kuwa itakuja,! Kwa sababu kuna movie ya 2013 INAITWA FLU!! Wameigiza kila kitu humo kinachotokea sasa hivi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nime igugo mkuu hio movie nataka baadae nkipata muda niicheki

Ila sasa naanza kupata mashaka kama huu mpango ni made in CHINA Kwenyewe Asee[emoji22][emoji22]

Kesho Kwa MUNGU Tunamengi Sana Yakujibu Tunauwana Kisa Nini Asee ?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiii CORONA kama vile wachina waliijuwa kuwa itakuja,! Kwa sababu kuna movie ya 2013 INAITWA FLU!! Wameigiza kila kitu humo kinachotokea sasa hivi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nime igugo mkuu hio movie nataka baadae nkipata muda niicheki

Ila sasa naanza kupata mashaka kama huu mpango ni made in CHINA Kwenyewe Asee[emoji22][emoji22]

Kesho Kwa MUNGU Tunamengi Sana Yakujibu Tunauwana Kisa Nini Asee ?!

Sent using Jamii Forums mobile app
hizo movie za namna hiyo zipo nyingi sana sio china tu hata marekani wamecheza pia
na kuna seriez pia hvyo ni kawaida siku zote watunzi huwa wanaandika story za novo au filamu ingawa filamu nyingi zinachukua story za kusisimua toka katika novo za watunzi wakali hvyo wkt mwingne wanayoota ndotoni huamishia katika daftari.

pia kuna majarida pia huwa wanaandika kabisa namna baadae itavyokuwa so ni kawaida kukuta filamu inazungumzia future ambayo baadae inakuja kuwa kweli.

kuna firamu inaitwa ANDROID imechezwa miaka ya 70s huko halafu sasa android zama hii ndo inatrend na kuna movie imechezwa miaka hiyo ya 80s kiatu cha nike kinajifunga na kujifungua na umeme mwaka juzi tu hapo NIKE wanetengeneza kiatu km hicho hvyohvyo kilichoelezewa kwenye movie vivo hvyo
pia kuna novo ya jamaa mmoja ilivyoelezea kisa cha kuzama titanic na kweli vile ikaja kuzama km alivyoandika na story inafanana hvyo.

so ni kawaida tu hata wewe ukituliza kichwa unaweza andika vizuri tu yatayotokea mbele na yakawa kweli kumbuka ushaota ndoto ngapi kali km ungekuwa utunzi fani yako ungekuwa na novo kali tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom