Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

NEWS ALERT: One of the new cases in Japan is a former passenger of the Diamond Princess cruise ship. She tested negative and was allowed to leave, but has now tested positive.
 
UPDATE: Visa vipya 33 vimeripotiwa nchini Italia na kufikisha jumla ya visa 54 nchini humo. Mpaka hivi sasa, watu wawili (2) wameripotiwa kupoteza maisha kutokana na virusi vya Corona nchini humo.
 
UPDATE: Visa vipya nane (8) vimeripotiwa nchini Italia.

Mpaka sasa idadi ya visa vyote nchini humo imefikia 62, wagonjwa wapatao saba (7) wakiwa mahututi huku kukiwa na uwezekano wa visa vipya kuongezeka zaidi.
 
Italia kuna shida gani? Mbona visa vyatokea vingi kwa muda mfupi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka sasa bado chanzo cha kuzuka kwa kasi kwa maambukizi nchini humo hakijajulikana.

Hapo awali kuna mtu mmoja alikuwa akihisiwa kuwa kama 'patient zero' na chanzo cha kuenea kwa maambukizi lakini baadaye ikagundulika kuwa hakuwa mgonjwa wa kwanza na wala hakuwahi kwenda yeye kama yeye nchini China.

Inasemekana alikutana na mtu mwingine aliyekuwa nchini China mnamo mwezi Januari.
 
UPDATE: Italia

Kisa kingine kimoja (1) kimeripotiwa mjini Milan. Ndani ya siku moja, Italia imeripoti visa takribani 43 hadi hivi sasa.
 
NEWS ALERT: Italy to put areas with outbreaks of coronavirus on lockdown, Prime Minister says. People will not be allowed to enter or leave areas with outbreaks of coronavirus, and violating this will be a criminal offense.

This lockdown (the first in Europe) will apply to at least 11 towns in Italy, roughly 50,000 people.
 
BREAKING: Hubei imeripoti visa vipya 630 pamoja na vifo vipya 96 kutokana na virusi vya Corona mkoani humo.
 
NEW: Hubei Province in China reporting 630 new coronavirus cases for Saturday, compared to 366 the previous day.
 
UPDATE: Italia

Visa vipya 14 vimeripotiwa nchini humo. Visa vipya 57 ndani ya siku moja. Idadi ya visa vyote mpaka sasa ni 77.

Mamlaka nchini humo zimeweka zuio la kutosafiri na kutoka katika maeneo kadhaa ili kuzuia kuenea zaidi kwa maambukizi.
 
Aiseeee!
UPDATE: Italia

Visa vipya 14 vimeripotiwa nchini humo. Visa vipya 57 ndani ya siku moja. Idadi ya visa vyote mpaka sasa ni 77.

Mamlaka nchini humo zimeweka zuio la kutosafiri na kutoka katika maeneo kadhaa ili kuzuia kuenea zaidi kwa maambukizi.
 
UPDATE: Korea Kusini

Visa vipya 123 vimeripotiwa nchini humo na kufikia jumla ya visa 556 hadi sasa huku idadi ya waliokufa ikiongezeka na kufikia nne (4) hadi sasa.
 
UPDATE: South Korea
  • 123 new cases
  • 2 new deaths
  • 75 new cases linked to church
  • 48 others with unknown link
  • Total: 556 cases, 4 deaths
  • 6,039 people being tested
 
UPDATE: Nchini Italia, wagonjwa wa COVID-19 wasiopungua 18 wako katika hali ya umahututi huku idadi ya visa vipya ikizidi kuongezeka.
 
Back
Top Bottom