FRANC THE GREAT
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 5,500
- 8,060
- Thread starter
-
- #721
Na China ndiye atakayekuja kuwa muuzaji mkuu wa tiba dhidi ya Coronavirus maana saa hizi yeye anapambana kuokoa wananchi wake sisi kwetu tuko busy na mengine hayatusu....tatizo muda tu...Vimepungua kwa kiasi fulani nchini China ukilinganisha na hapo awali (kwa mujibu wa takwimu rasmi) lakini nje ya China hali ni tofauti kidogo.
Hakuna mkono wamabeberu kweli ?Italia kuna shida gani? Mbona visa vyatokea vingi kwa muda mfupi?
Sent using Jamii Forums mobile app
UPDATE: Italia
Visa vipya 14 vimeripotiwa nchini humo. Visa vipya 57 ndani ya siku moja. Idadi ya visa vyote mpaka sasa ni 77.
Mamlaka nchini humo zimeweka zuio la kutosafiri na kutoka katika maeneo kadhaa ili kuzuia kuenea zaidi kwa maambukizi.
Mungu hawezi kutuokoa kama tutaendelea kuacha mipaka yetu wazi kwa wachina
Baadhi ya watu waliotoka katika meli ya Diamond Princess na kuonekana wapo salama wameanza kuripotiwa kama visa vipya.
Mungu hawezi kutuokoa kama tutaendelea kuacha mipaka yetu wazi kwa wachina
Nime igugo mkuu hio movie nataka baadae nkipata muda niichekiHiii CORONA kama vile wachina waliijuwa kuwa itakuja,! Kwa sababu kuna movie ya 2013 INAITWA FLU!! Wameigiza kila kitu humo kinachotokea sasa hivi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hv korona sio yawachina pekee lamsingi nalamhimu nikua makini na mipaka yetu bhaasiMungu hawezi kutuokoa kama tutaendelea kuacha mipaka yetu wazi kwa wachina
Done....Africa tuweke mpaka hakuna mtu yeyote wa taifa la nje kuingia wala kutoka Africa, na tuweke sheria kali atakayekiuka katazo hilo.
Na kwamba, kama ni bidhaa tunazo tutabadilishana wenyewe kwa wenyewe, Mwisho!
Hiii CORONA kama vile wachina waliijuwa kuwa itakuja,! Kwa sababu kuna movie ya 2013 INAITWA FLU!! Wameigiza kila kitu humo kinachotokea sasa hivi.
Sent using Jamii Forums mobile app
hizo movie za namna hiyo zipo nyingi sana sio china tu hata marekani wamecheza piaNime igugo mkuu hio movie nataka baadae nkipata muda niicheki
Ila sasa naanza kupata mashaka kama huu mpango ni made in CHINA Kwenyewe Asee[emoji22][emoji22]
Kesho Kwa MUNGU Tunamengi Sana Yakujibu Tunauwana Kisa Nini Asee ?!
Sent using Jamii Forums mobile app