Mataifa yanafunga, sisi hatufungi, hatari sana!
Aiseee embu cheki hizi virus zinavyo zingua bado kazi ipo tutaangamia
Iran
Mwenyekiti wa kamati ya Usalama na Mahusiano ya Kimataifa ya Bunge la Iran ametangaza kuambukizwa Corona na hivyo yupo katika mtengano.
Maambukizi nchini Iran yafikia 256
Vifo nchini Iran vyafikia 26
Watu wanadai kutokana na hiyo Rate Iran inadanganya kuhusu maambukizi maana huu ugonjwa huua asilimia 2 tu ila kwao imefikia asilimia 9
Sent using Jamii Forums mobile app
North Korea
Serikali ya taifa hilo imeendeleza likizo ya shule zote ili kuzuia maambukizi ya virusi vya corona.
Hadi sasa wagonjwa wa Corona hawajulikani walipo
Sent using Jamii Forums mobile app