Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Saudi Arabia

Serikali ya Saudi Arabia imezuia Hijja kwa watu wote watokao nje ya Saudi Arabia, hili limefanywa ili kuzuia maambukizi ya Ugonjwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Majeshi ya Marekani na Korea ya Kusini yameahirisha Mazoezi ya pamoja ya kijeshi baada ya kundulika kwa Maambukizi ya Corona kwa Mwanajeshi 1 wa Marekani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iran

Mwenyekiti wa kamati ya Usalama na Mahusiano ya Kimataifa ya Bunge la Iran ametangaza kuambukizwa Corona na hivyo yupo katika mtengano.

Maambukizi nchini Iran yafikia 256

Vifo nchini Iran vyafikia 26

Watu wanadai kutokana na hiyo Rate Iran inadanganya kuhusu maambukizi maana huu ugonjwa huua asilimia 2 tu ila kwao imefikia asilimia 9

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hyo asilimia 10 kabisa
Ila serikali yao pia watengwe
Iran

Mwenyekiti wa kamati ya Usalama na Mahusiano ya Kimataifa ya Bunge la Iran ametangaza kuambukizwa Corona na hivyo yupo katika mtengano.

Maambukizi nchini Iran yafikia 256

Vifo nchini Iran vyafikia 26

Watu wanadai kutokana na hiyo Rate Iran inadanganya kuhusu maambukizi maana huu ugonjwa huua asilimia 2 tu ila kwao imefikia asilimia 9

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UPDATE: Valencia, Spain

New case in Valencia, Spain was confirmed in a soccer fan who traveled to Milan for a champions league game on February 19; about 2,500 fans from Valencia traveled to northern Italy that day. [El Pais]
 
UPDATE: Uingereza imeripoti visa vipya viwili (2).

Waliingia nchini humo hivi karibuni huku mmoja akitokea nchini Italia na mwingine akitokea Tenerife, Uhispania.

Matibabu yangali yakiendelea kwa wote wawili.
 
Back
Top Bottom