Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Our experts are extraordinary!" - Donald J. Trump


Yaani, Jamaa anakiburi kuliko, mbona Ukimwi hao experts wake wamedunda hadi leo??, au ni wao (US) wame wa develop hao wadudu na wanajua dawa yake na wanataka kuwauzia China ndiyo maana wanatafuta njia ya kujiingiza waanze biashara ya dawa.

USA walishafanya jambo kama hilo kwa Cuba.
 
Leo
Comfirmed cases ; more than 6000
People died ; more than 132


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
MPYA: Kazakhstan kusitisha huduma za usafirishaji kati yake na China. Serikali ya nchi hiyo imethibitisha.

====

UPDATE: Kazakhstan to suspend all buses, trains, and flights with China due to coronavirus - gov't
 
Ethiopia: Maafisa wa afya nchini humo wanasema kuwa sampuli ya damu imetolewa kwa watu wanne (4) wanaoshukiwa kuwa na virusi vya Corona na sampuli inatarajiwa kupelekwa Afrika Kusini kwa ajili ya uchunguzi zaidi.
Africa bana [emoji22][emoji22][emoji22]


Sampuli Inapelekwa SOUTH [emoji22]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
pia inasemekana kirusi hiki kinapatikana kwenye nyama ya mbuzi catholic a.k.a kitimoto 😷
 
Shirika la ndege la nchini Uingereza, British Airways limesitisha safari zote za moja kwa moja kati ya Uingereza na China kufuatia mlipuko wa virusi vya Corona huko Wuhan nchini China. [BBC]

====

The full British Airways statement:
 
Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), vimeripotiwa visa vinne (4) kutokana na virusi vya Corona. Ripoti hiyo ni kwa mujibu wa Wizara ya Afya nchini humo.

====

UPDATE: UAE confirms four cases of Wuhan coronavirus.

The United Arab Emirates has confirmed four cases of the coronavirus, the UAE’s Ministry of Health and Prevention said in a statement Wednesday.

The four reported cases are all within a single Chinese family from Wuhan, the ministry said.

“The general health situation is not a cause of concern,” the ministry said.

There are at least 5,974 confirmed cases of coronavirus in mainland China -- including 132 deaths -- and at least 86 cases outside of mainland China.

[CNN]
 
Tibet: Mahali palipotajwa kuwa salama zaidi nchini China kwa kutoripotiwa visa vyovyote vile vya 'Coronavirus', lakini hivi leo kumeripotiwa kisa cha kwanza kabisa katika mkoa huo.

Hilo linaonesha kuwa virusi hivi havijasambaa tu katika miji na sehemu zenye makazi mengi ya watu bali hata katika maeneo ya vijijini.
 
Wizara ya Afya ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) imesema kuwa, watu wanne (4) waliothibitika kuwa na maambukizi nchini humo ni raia kutoka nchini China ambao waliingia nchini humo mnano Januari 16 kwa shughuli za kitalii wakitokea Wuhan nchini China. [Al Arabiya]
 
Uturuki imetangaza kuwaondoa raia wake 32 waliopo Wuhan nchini China katika siku chache zijazo. Taarifa ni kwa mujibu wa Balozi wa Uturuki nchini China.

====

UPDATE: Turkey will evacuate 32 citizens from Wuhan

A total of 32 Turkish citizens in Wuhan will be evacuated in the next few days, said the Turkish ambassador to China on Wednesday.

Speaking to the Haberturk news channel, Emin Onen said the Turkish citizens are Wuhan residents, tourists and people who were there for trade and business.

Turkish and officials have begun the official process, and the 32 citizens are in good health, Onen said.

"No virus detected. We are in touch with Chinese authorities. We will bring them ASAP,” he said.

The ambassador said he cannot give an exact schedule of when the citizens will be evacuated. The plane will land in Wuhan to pick up passengers but it is unclear whether they will be taken back to Istanbul or Ankara.

Onen said the 32 people will be quarantined for some time.

[CNN]
 
Mataifa yaliyokwisha anza kuwaondoa raia wake kutoka Wuhan nchini China;
  • Marekani
  • Japan

Mataifa mengine yaliyothibitisha mpango wa kuwaondoa raia wake kutoka eneo hilo;
  • Australia
  • New Zealand
  • India
  • Korea Kusini
  • Ufaransa
  • Uingereza
  • Uturuki
 
Breaking:Utafiti wabaini kuwa kirusi cha Corona kimetokea kwa Popo.Pia imebainika kuwa kirusi hiki kimefika kwa binadamu kwa kupitia kula nyoka.Nyoka wanatabia ya kuwinda na kula popo.

Aidha wahanga wa kwanza wa kirusi cha Corona ni wafanyakazi waliokuwa wakifanya kazi katika duka la kuuza minofu ya nyoka pale mjini Wuhan.
 
Je tanzania haina mpango wa kuwaondoa raia wake china??
 
Containment ni ngumu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchi za Afrika hazitatoa mtu huko
Mataifa yaliyokwisha anza kuwaondoa raia wake kutoka Wuhan nchini China;
  • Marekani
  • Japan

Mataifa mengine yaliyothibitisha mpango wa kuwaondoa raia wake kutoka eneo hilo;
  • Australia
  • New Zealand
  • India
  • Korea Kusini
  • Ufaransa
  • Uingereza
  • Uturuki

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Foreigners in China evacuated amid fears of deadly coronavirus

Thousands of foreigners in China are returning home as countries begin evacuating their citizens from the epicentre of the deadly coronavirus outbreak. Nearly 6,000 cases have been confirmed in China. The latest figures mean there are now more cases in China than during the SARS outbreak
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…